Umeme wa LUKU bado upo juu

Njaro

JF-Expert Member
Mar 19, 2016
356
787
Tumesikia TANESCO wakiondoa service charge na kushusha bei ya umeme lakini cha kushangaza bado ukinunua umeme bei hazijashuka. Tanesco ilitudanganya kusema umeme umeshuka bei na ukinunua unapata units nyingi?

1461554961288.jpg
 
kama kuna ambaye hajaona unafuu wa kutolewa Service charge aombe ombi maalum yeye arejeshewe hiyo huduma
 
Tumesikia Tanesco wakiondoa service charge na kushusha bei ya umeme lakini cha kushangaza bado ukinunua umeme bei hazijashuka. Tanesco ilitudanganya kusema umeme umeshuka bei na ukinunua unapata units nyingi?View attachment 342172
Tanesco ilikuwa tyar imeisha shusha bei ya service charge lakini baada ya zile pesa za msaada wa shirika la kimataifa kuzuiwa wakwa hwana jinsi. Zile pesa zilikuwa zinelenga miradi ya umeme na maji. So vumilia 2 maana tanzania inabidi ianze jitegemea.
 
kama kuna ambaye hajaona unafuu wa kutolewa Service charge aombe ombi maalum yeye arejeshewe hiyo huduma
Mkuu lakini hii nchi yetu ina siasa nyingi unaweza kukuta wametoa service charge ila kile kiwango kimehamishiwa kwenye huduma nyinge bila wao kututaarifu, kama mwanzo kulipokuwa na service charge ulikuwa unapata eg. unit 20 kwa elfu kumi leo ukakuta hela hiyo unapata unit 19 au zile zile na hakuna service charge kutakuwa na unafuu wowote? Nchi hii ina maneno mengi sana ila utekelezaji ni shida.
 
Tanesco ilikuwa tyar imeisha shusha bei ya service charge lakini baada ya zile pesa za msaada wa shirika la kimataifa kuzuiwa wakwa hwana jinsi. Zile pesa zilikuwa zinelenga miradi ya umeme na maji. So vumilia 2 maana tanzania inabidi ianze jitegemea.

unamaanisha bei sa hvi kama ya zamani?ama?
 
Back
Top Bottom