Umeme wa 45,000 unakatwa elfu 11 unabakiwa na elfu 34 huyu nchi imemshinda

Tumepishana tuchukulie Rwanda pamoja na kuwa simpendi Kagame kwa kuwa ni dikteta ná muuaji wa wapinzani wake lakini katika kipindi kifupi amenyanyua sana vipato vya Wafanyakazi na Wakulima na hata kuwavutia waliohamia ughaibuni kurudi kwao kwa maelfu ili kuchangamkia ajira zinazolipa vizuri. Nchi yao ni safi sana utadhani uko majuu kwenye nchi zilizo safi. Na mafanikio hayo ni ya miaka 24 au tu baada ya kuuana 1994z. Samia KISHASHINDWA ndani ya miezi minne tu. Hana jipya hasa ukitilia maanani alikuwemo kwenye Serikali tangu 2015. Amebaki kufanya viroja tu lakini uongozi umeshamshinda.
Huyo kagame amenyanyua kipato cha watumishi kutoka sh. ngapi hadi sh. ngapi? Kwasasa bei ya sukari, mafuta na unga wenzetu upoje?
 
Anaandika malisa GJ
Fikiria unanunua umeme wa 45K, serikali inalamba 11K kupitia makato mbalimbali, na wewe unaambulia umeme wa 34K tu. Fikiria wewe ni mtumishi, umekatwa PAYE, umekatwa HESLB, umekatwa NSSF. Zote hizo unaichangia serikali. Halafu kile kidogo unachobakiza ukienda kujaza mafuta serikali inakula karibu TZS 700 kwa lita. Ukinunua umeme ndo kama hivi.

Ukinunua sukari, chumvi, mafuta, kote huko wanakulamba kodi zenye kuumiza. Bado hujamtumia pesa mama yako mgonjwa kijijjni ukutane na bwana tozo.

Sasa badala ya kuwaza namna ya kutatua changamoto kama hizi zinazomuumiza mwananchi, tunawaza uchaguzi wa 2025 na maumbile ya wagombea. What the hell with maumbile? Awe mwanamke au mwanaume it doesnt matter, muhimu tunataka kiongozi anayeweza kushughulikia matatizo yetu.

Kama mtu hawezi kushughulika na matatizo ya watu wake, uanaume au uanamke wake unatusaidia nini?

View attachment 1940340
Tumkatae huyu chifu.
 
Muda mwingine nahisi watanzania tunalalamika sana bila kujifunza/ kufanya utafiti. Mi naona ni muhimu tukajilinganisha na nchi za jirani pia, Kama bei ya sukari, mafuta ya kula, petrol, unga wa ugali na mchele kwa wenzetu vikoje na sisi kwetu hali ikoje. Kodi kwa wenzetu zikoje na sisi zetu zikoje. Wabunge wetu wanalipwa kiasi gani na wenzetu wanalipaje .Lakini tukilalamika tuu pengine sisi tunanafuu kuliko wenzetu
 
Aliyeshindwa nchi ni yule anayelalamika kila siku kwenye mtandao kama mmeshindwa kukaa hamieni Burundi, muacheni mama aendelee kuupiga mwingi
 
Si tulikubaliana mama aendelee kuupiga kiutopolo? Tumpe mda au tusimpe, nchi ilishajifia hii. Tuazime foreigners waje kutuongoza, hatujiwezi..
 
mlivyokua mnatoka mapovu kushabikia udhalimu wa CCM mlizani kibano cha tozo na mfumuko wa bei utaumiza CDM tu
Wapi umeona wana ccm wanalia?

Sisi tunainjoi sana mabavicha mnavyolialia!

Maana mwanzo mlidemka eti mnapumua baada ya kuonewa sana kwa miaka 5.

Mkasema bora huyu anawachapa huku anawageia na soda

 
Wapi umeona wana ccm wanalia?

Sisi tunainjoi sana mabavicha mnavyolialia!

Maana mwanzo mlidemka eti mnapumua baada ya kuonewa sana kwa miaka 5.

Mkasema bora huyu anawachapa huku anawageia na soda

hahah mataga pori mnalia na kusaga meno mlidhani dhuluma za serilai za CCM zitaumiza tu CDM??

Mataga pori lidhani mkienda sheli na madera yenu kijani mtauziwa Petrol kwa Tsh 2000 🤣 🤣 🤣 🤣
 
hahah mataga pori mnalia na kusaga meno mlidhani dhuluma za serilai za CCM zitaumiza tu CDM??

Mataga pori lidhani mkienda sheli na madera yenu kijani mtauziwa Petrol kwa Tsh 2000
Unaonaje mama alivyofungua nchi?

Unaonaje alivyowakomesha mataga?

Unaonaje alivyowakomesha sukuma gang na kufuta legacy?

Unaonaje alivyorudisha hela mtaani ili ninyi mabavicha muwe mnaziokota?

Unaonaje mlivyopunguziwa kodi?

Unaonaje mnavyopumua baada ya kuonewa sana kwa miaka 5?
.
 
Unaonaje mama alivyofungua nchi?

Unaonaje alivyowakomesha mataga?

Unaonaje alivyowakomesha sukuma gang na kufuta legacy?

Unaonaje alivyorudisha hela mtaani ili ninyi mabavicha muwe mnaziokota?

Unaonaje mlivyopunguziwa kodi?

Unaonaje mnavyopumua baada ya kuonewa sana kwa miaka 5?
.
😀😀😁😁😀😁Duh
 
Anayeongoza nchi yupo Msoga kuleeeerr anatumia remote hlf eti apewe 2025 tutalala barabarani watuue,yan kila kitu hvy hvy,umeme hvy,maji hvy,kutishiana unajua mi nani kumerudi,mafisadi ndio muda wao wa kupiga
Semea nafsi yako sio wote hapo"UTALALA BARABARANI WAKUUE"
 
Back
Top Bottom