Umeme wa 45,000 unakatwa elfu 11 unabakiwa na elfu 34 huyu nchi imemshinda

Lakini tunaweza kulinganisha ukubwa wa nchi ya Rwanda na hii ya kwetu? Sisi tunafyatuana, population ya kutosha, Tena Population iliyodekezwa na ujamaa isiyotaka kulipa Kodi na inayoona inaonewa kufata Sheria...
Tumpe mama muda, na tumuombee, nchi ngumu sana hii.

shida sio tozo , shida hatuoni impact ya hizo tozo maana miradi ya mjomba ndo inaendelea bado mama hajaonesha hata nia ya kuleta kitu kipya , kwa hali kama hiyo wananchi lazima wawe na ukakasi wap ela inanenda
 
Back
Top Bottom