Umeme unakatwa saa sita usiku, hadi saa 12 jioni

Mkuu we fanya kautafiti utagundua kuna kagenge kako JF na Twitter kazi yao ni kumpamba January na kanataka kuamini jamii nzima ina MTAZAMO huo.Niko magroup mbalimbali ya watsap, Facebook,Hakuna wanapoona January ni kiongoz mzuri.JF na Twitter ni rahisi genge flani kupush agenda tofaut na Facebook au huko kwenye group za watsap
 
Kwahio wanakata leo wanarudisha kesho ?

Nadhani kwa lugha ya kupunguza makali sema wanawasha saa 12 jioni mpaka saa Sita Usiku... Yaani unapata Robo ya Umeme kwa Siku
 
Huyo Mwezi Mosi ni mpiga dili maarufu. Kuna mazingira yanatengenezwa. Ninaamini iko kampuni inasukwa. Majonzi tumeyaanza tayari. Miaka 5 ya Magufuli Maji na Umeme vilikuwa kipaumbele. Mfano maji yaliweza kupanda mpaka milima, umeme masaa 24 kama ukikatika ni muda mfupi maana hitilafu ilishughulikiwa ndani ya muda mfupi. Kila Waziri wa Sekta alijituma alijua akilala KAZI Hana. Leo hii Bora liende. Marehemu Magufuli yapo niliyoyasemea kwa kuwa hayakuwa poa ila kiutendaji hakuna mfano. Nitakukumbuka daima Kwa Utendaji wako uliotukuka. Sijui kwa nini Ulikufa ghafla bila hata watanzania kuwa na habari za ugonjwa wako .
Ninakoishi umeme ukikatika Jana Jumamosi Saa Moja Usiku mpaka muda huu saa 3:13 asubuhi haujarudi. Pumzika kwa Amani Rais Dr. Joseph Pombe Magufuli.
 
Back
Top Bottom