Umeme unakatika Bungeni sasa hivi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Umeme unakatika Bungeni sasa hivi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Danniair, Jul 21, 2011.

 1. D

  Danniair JF-Expert Member

  #1
  Jul 21, 2011
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 361
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ktk dakika ya 6 na 12 ya saa mbili usiku huu nimeona TBC wakionyesha Mhs. Mnyika akiongea gizani. Kisha taa zikawaka. Baadaye tena msemaji aliyefutia wakati anachangia mada umeme ukakatika tena.
   
 2. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #2
  Jul 21, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  sasa cha ajabu hapo ni nini?
   
 3. D

  Danniair JF-Expert Member

  #3
  Jul 21, 2011
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 361
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hii inaonyesha kuwa tanesco are quite serious,
   
 4. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #4
  Jul 21, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  nchi ndo isha mshinda jk, yeye yupo zake sauzi anaangalia kamera za barabarani tu na jinsi ya kucheza kwaito..
   
 5. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #5
  Jul 21, 2011
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Acha wakate ili wazee watafakali vizuri :

  [​IMG]

  [​IMG]
   
 6. Nzowa Godat

  Nzowa Godat JF-Expert Member

  #6
  Jul 21, 2011
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 2,630
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Hivi huyo anatafakari !? kafumba macho lakini, kama maLehemu vile !
   
Loading...