Umeme umeme janga hili tanzania litakwisha lin? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Umeme umeme janga hili tanzania litakwisha lin?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by emmz'd, Apr 18, 2012.

 1. e

  emmz'd Member

  #1
  Apr 18, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Umeme unaingia pande zote kiuchumi na kisiasa ndio maana kuongezeka kwa mgao usio na kikomo shilingi yetu inashuka thaman na wala hakuna mpango wowote wa kuipandisha sasa ivi KIGOMA ni mgao usioeleweka kweli mkoa huu unaweza kusonga mbele kiuchumi,ktk siasa ndo usiseme magamba yanatumaliza viongozi wanashindwa kuwajibika daah!'NANI ATATUKOMBOA MWAKA HUU.........'
   
 2. S

  SI unit JF-Expert Member

  #2
  Apr 18, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 1,938
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Peoples pawa wakichua nchi tatizo kwishne
   
Loading...