UMEME: Tanesco, Ngeleja OMBENI MSAMAHA Kwa KAKOBE

Nabii Eliya alisema kwa mfalme Ahabu kuwa mvua haitanyesha katika nchi kwa miaka mitatu na nusu na ikawa hivyo. Watu wote wa nchi ile waliteseka bila kuchagua mtoto, mkubwa, mzee na hata mfalme mwenyewe. Hadi hapo Eliya alipoomba tena na kutoa sadaka na hapo mvua ikanyesha. Mambo ya rohoni si ya kubishania maana kama Neno lilishajidhihirisha ni vizuri hatua ikachukuliwa ili kunusuru madhara zaidi.

na kesi yake na wachungaji je imeishaje/inaendeleaje?
 
Back
Top Bottom