Umeme shida Mikoa ya Lindi na Mtwara..WHY???

Kimla

JF-Expert Member
Jun 8, 2008
1,812
2,000
Jamani huku mawilayani hasa newala , masasi na sehemu zingine umeme unawake kwa masaa 3-5 kati ya masaa 24. Hii hali sijaiona sehemu nyingine yan nchii hii. Je tatizo ninini wakati wapata umeme wa GAS??
 
BAKOI

JF-Expert Member
Jan 31, 2016
1,062
2,000
"""Umeme unawake kwa masaa 3-5"""
Mwisho wa kunukuu.
Mkome tena ukatike Mwaka mzima mkae gizani ili akili ikae vizuri
 
Zesh

JF-Expert Member
Apr 27, 2017
14,732
2,000
Jamani huku mawilayani hasa newala , masasi na sehemu zingine umeme unawake kwa masaa 3-5 kati ya masaa 24. Hii hali sijaiona sehemu nyingine yan nchii hii. Je tatizo ninini wakati wapata umeme wa GAS??
Jamani ndo useme lindi na mtwara??????si ungesema tu masasi na newala ingetosha .....utupishe watu wa kilwa hatuna shida ya umeme ........kwetu umeme upo mwanzo mwisho
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom