Umeme na Nishati: Tatizo sugu Tanzania

ni lazima kujibu swali hili? clearly serikali yetu through masha and many others wameona umuhimu wa vitambulisho na mwisho wa siku wanarudi home wanawasha generator na kumtuma housegirl akapande foleni ya luku! 1Oyrs down the line wanakuja kama kitine na wenginewo na kuanza kuponda serikali...if you in power act now!! seems bongo viongozi hawana time na mambo ya legacy etc
INAUMIZA KICHWA!!
 
Kaka Omar,

Hivi wale commercial and trade attachee wetu walioko kwenye balozi zetu nchi za nje kazi zao ni nini?

Wapo ambao tayari wameshaguliwa lakini mshiko serikalini unagoma hivyo wengi wao bado kwenda vituoni. Hata hivyo nina wasiwasi kama teuzi zao zinaendana na mahitaji yaliyopo. Labda wangechukuwa vijana toka sekta binafsi wenye upeo kiasi na kudeal na CORPORATE clients ingesaidia. Ofcourse watahitaji kupigwa msasa kidogo lakini naamini kama watakuwa recruited kwa umakini natumai watasaidia zaidi kuliko hawa career civil servants walioathiriwa na utamaduni wa kiserikaliserikali...

omarilyas
 
Mkuu, huko corporate ndo kuna mafisadi si mchezo, kama huko TBL, Vodacom we acha tu! That is not the solution. hao career diplomats hawashindwi kazi ni system ndo inatakiwa iwe transparent na kuacha ndugunization na mishiko
 
Be more specific on this and give examples!

Haya ni maneno yako kutoka mtaa wa pili hukoo, "But who am I to talk power and energy while I am not an expert in engineering or energy but mbwabwajaji?" mwisho wa kunukuu. Rashidi, Nyepesi (Zitto) na karibu major players wooote ktk timbwili hili ni wabwabwajaji tu kama wewe, mna zero expertize ktk masuala ya umeme.........nimekosea?
 
YNIM mkuu, kukosa expertise haina maana kuwa hatuna reasoning and the ability to synthesize information.
 
I use common sense and my Ngwiniism tells me I can be a better Tanesco CEO than even some of those who were there who were Engineers!

Lets say I give you a token for your argument, then the question becomes why Tanesco has continued to fail and rush to use cheap methods to distribute electricity? if you read the feasibility studies for Pangami or other Hydro projects such as Kidatu an Mtera, there is a line up of matatizo, and he question becomes why Mchungaji ngwini mbwabwajaji finds the faults nd not YNIM the engineer who designed the plan?
 
Thats not what i said.......na issue hapa sio ku-synthesize information ni zaidi ya hivyo na ndio maana expertize ni nyeti!
 
Normally, I would agree with you 100%, but unfortunately due to reasons I have cited in my posting on page 6, this is not true in Tanzania. Hence my argument and I agree with Rev Kishoka, that despite his lack of engineering knowledge he would make a good manager of TANESCO. For example do you think that in order to manage Muhimbili, we need a doctor to manage it? Or to manage KIA airport we need a pilot? No, we need good managers! Expertise advise is essential and a good manager is the one who gets the right experts to advise him and implement plans.
 
Watu wavitambulisho watakua na hela ya kununua generator na kupeleka watoto wao ulaya na kushinda uchaguzi

umeme is very important
 
the question becomes why Tanesco has continued to fail and rush to use cheap methods to distribute electricity?

The answer is simple! Anything run by Miafrika is doomed to fail. Failed states, failed governments, failed enterprises, failed societies, failed communities, failed schools...you name it...

if you read the feasibility studies for Pangami or other Hydro projects such as Kidatu an Mtera, there is a line up of matatizo, and he question becomes why Mchungaji ngwini mbwabwajaji finds the faults nd not YNIM the engineer who designed the plan?

Finding the fault(s) is not that hard. It's the rectification of that fault that is hard. Rectification requires knowledge, skill, innovation, ingenuity, hard work (not necessarily in that order),etc etc. So far we haven't exhibited any of these or if we have it is just to a very minimal degree. So all of this can be summed up to just three words......
 
I use common sense and my Ngwiniism tells me I can be a better Tanesco CEO than even some of those who were there who were Engineers!

Lets say I give you a token for your argument, then the question becomes why Tanesco has continued to fail and rush to use cheap methods to distribute electricity? if you read the feasibility studies for Pangami or other Hydro projects such as Kidatu an Mtera, there is a line up of matatizo, and he question becomes why Mchungaji ngwini mbwabwajaji finds the faults nd not YNIM the engineer who designed the plan?

Sio kweli...mainjinia hawana the last word! Kila kitu ni siasa na mangwini (kama wewe) ndio wenye neno la mwisho na ndio maana kila kitu cha "kitaalamu" hakiendi na wala havifanikiwi!
 
Normally, I would agree with you 100%, but unfortunately due to reasons I have cited in my posting on page 6, this is not true in Tanzania. Hence my argument and I agree with Rev Kishoka, that despite his lack of engineering knowledge he would make a good manager of TANESCO. For example do you think that in order to manage Muhimbili, we need a doctor to manage it? Or to manage KIA airport we need a pilot? No, we need good managers! Expertise advise is essential and a good manager is the one who gets the right experts to advise him and implement plans.

Toka lini mangwini wa Tanzania wanasikiliza mainjinia au madaktari??
 
mnafikiri kama wazalendo na siyo mafisadi... fisadi mzalendo anafikiri hivi: wakiwa na vitambulisho itakuwa rahisi kuwagawia umeme!, so vitambulisho ni muhimu kuliko umeme kwa maana ya nini kifanyike kwanza.
 
Inategema unaiangali Tanzania kwa mchepuo upi. Kutimiza matakwa ya sasa na muda mfupi na kuweka kando matakwa ya muda mrefu ama kufanikisha yote kwa pamoja. Kwangu mimi vyote ni muhimu. Kinachotakiwa ni kuwa makini katika utekelezaji wake ili kuhakikisha malengo halali ndio yanafanikiwa na sio malengo haramu.

Tanzania ni zaidi ya enzi hizi za UFISADI kushika HATAMU.

omarilyas
 
Oh really? Does he have any pedigree in management?

Nyani,

Hivi kuongoza ni lazima uwe na PHD? je nikiwa mkulima kama Eva Morales wa Bolivia na nikawa na mawazo endelevu, huoni kuwa ni bora kuliko kuwa na msomi kama Kerry ambaye ni blah blah?
 
Ya PhD. yametokea wapi tena? Nilichouliza mimi ni kama una pedigree (background) ya management na sio kama una leadership qualities? Au kati ya management na leadership hakuna tofauti?
 
Sio kweli...mainjinia hawana the last word! Kila kitu ni siasa na mangwini (kama wewe) ndio wenye neno la mwisho na ndio maana kila kitu cha "kitaalamu" hakiendi na wala havifanikiwi!

Ndio maana mnaongozwa kwa kuwa kazi yenu ni kuangalia bisibisi mkimsikiliza Nyani awaambie nini cha kufanya kwi kwi kwi!
 
Ya PhD. yametokea wapi tena? Nilichouliza mimi ni kama una pedigree (background) ya management na sio kama una leadership qualities? Au kati ya management na leadership hakuna tofauti?

Siku hivi ziko kwenye Leadership, withouth leadership, management becomes void.

You lead people and manage process. Sasa sisi tuna hao combo ambao ni managelead ambao ni watupu kabisa upstairs.
 
Back
Top Bottom