K Kisendi JF-Expert Member Jan 29, 2009 699 178 Jun 27, 2011 #1 Jamani wana JF, Mikoa mingine vipi Jamani, Huku Umeme hakuna tangu Jana. Tunaumia ama kweli. Sijui mikoa mingine mambo yakoje. Nasikia MTERA imekauka sasa itakuwaje wandugu
Jamani wana JF, Mikoa mingine vipi Jamani, Huku Umeme hakuna tangu Jana. Tunaumia ama kweli. Sijui mikoa mingine mambo yakoje. Nasikia MTERA imekauka sasa itakuwaje wandugu