Umeme kukatika kila siku, Je kuna mgao?

Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Aug 8, 2015
21,237
34,185
Habari wana JF.

Ni muda sasa hii kero inatokea. Kila siku umeme unakatika. Hapa ninavyoandika umeme umekatika na haujarudi mpaka sasa! Je kuna mgao wa umeme unaendelea hapa nchini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuwa Mzalendo, usihoji mgao wa umeme kipindi hiki tunaelekea uchaguzi mkuu. Unakwamisha ushindi wa 99%😂
Nchi ya wajinga sana hii.
 
Back
Top Bottom