• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Umeme kukatika kila siku, Je kuna mgao?

Upepo wa Pesa

Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2015
Messages
14,112
Points
2,000
Upepo wa Pesa

Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Joined Aug 8, 2015
14,112 2,000
Habari wana JF.

Ni muda sasa hii kero inatokea. Kila siku umeme unakatika. Hapa ninavyoandika umeme umekatika na haujarudi mpaka sasa! Je kuna mgao wa umeme unaendelea hapa nchini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
T

Trillion

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2018
Messages
614
Points
1,000
T

Trillion

JF-Expert Member
Joined Apr 24, 2018
614 1,000
Kuwa Mzalendo, usihoji mgao wa umeme kipindi hiki tunaelekea uchaguzi mkuu. Unakwamisha ushindi wa 99%😂
Nchi ya wajinga sana hii.
 
R

RockCarnegie

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2019
Messages
585
Points
1,000
R

RockCarnegie

JF-Expert Member
Joined Jan 17, 2019
585 1,000
Habari wana JF

Ni muda sasa hii kero inatokea. Kila siku umeme unakatika. Hapa nnavyoandika umene umekatika na hauja rudi mpaka sasa!

Je kuna mgao wa umeme unaendelea hapa nchini?

Sent using Jamii Forums mobile app
We utakuwa umetumwa na mabeberu kumkwamisha rais wetu!
 

Forum statistics

Threads 1,402,696
Members 530,972
Posts 34,402,648
Top