Umeme: January awa Bubu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Umeme: January awa Bubu.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by AK-47, Mar 1, 2011.

 1. AK-47

  AK-47 JF-Expert Member

  #1
  Mar 1, 2011
  Joined: Nov 12, 2009
  Messages: 1,381
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini January Makamba leo ameshindwa kutoa mapendekezo ya kamati yake kuhusu ufumbuzi wa mgao wa umeme nchini, kama alivyoshindwa rais JK katika hotuba yake kwa taifa hapo jana. Kamati hiyo iliyokaa siku nane mfululizo kutafuta tiba ya tatizo la umeme na ufumbuzi wa sakata la Dowans leo imeufyata mkia na cha ajabu imeamua kumtumia mkuu wa ulinzi wa ofisi za bunge DSM kuwa msemaji wake kwa waandishi waliokua na kiu ya kuyapata mapendekezo hayo. Mlinzi huyo aliyekuwa amekariri vyema maagizo ya January alikuwa akiwaambia waandishi samahani M/Kiti wa kamati amesema hataongea lolote na waandishi wa habari na mapendekezo ya kamati yake sasa atayapeleka kwa Katibu wa Bunge na si kwa vyombo vya habari.
   
 2. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #2
  Mar 1, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  January Makamba ambaye pia ni msemaji(asiye rasmi) wa Dowans atasema nini?
  Inabidi jamaa wakubali kuwa Dili la Dowans lishakuwa nyoka watafute mwanya mwingine tuu.
   
 3. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #3
  Mar 1, 2011
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,529
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
 4. U

  Uswe JF-Expert Member

  #4
  Mar 1, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  well said!
   
Loading...