Umekula tunda gani leo?

Vyote vinapunguza mafuta mwilini
Tangu mwezi wa 9 ndo nakula hivyo usiku ila sipungui mwili uko vile vile

Mazoezi nafanya kidogo sana inshort yamenishinda ndo nikaanza kutokula usiku.

Wengine wananiambia niache maziwa mmh maziwa siwezi acha ndo kinyaji changu pendwa.

Nb sina mwili mkubwa sema nina mwili nzuri tu wa kawaida sema nilivyoongezeka kidogo kuna ka kotumbo kama vile kinakuja mmh kumbe ukiongezeka mwili kila sehemu inaongezeka? Duh wacha nikazane na mazoez feki ya tumbo😂
 
Tangu mwezi wa 9 ndo nakula hivyo usiku ila sipungui mwili uko vile vile

Mazoezi nafanya kidogo sana inshort yamenishinda ndo nikaanza kutokula usiku.

Wengine wananiambia niache maziwa mmh maziwa siwezi acha ndo kinyaji changu pendwa.

Nb sina mwili mkubwa sema nina mwili nzuri tu wa kawaida sema nilivyoongezeka kidogo kuna ka kotumbo kama vile kinakuja mmh kumbe ukiongezeka mwili kila sehemu inaongezeka? Duh wacha nikazane na mazoez feki ya tumbo
mmh kumbe ukiongezeka mwili kila sehemu inaongezeka? Duh wacha nikazane na mazoez feki ya tumbo
 
Screenshot_20220116-122631.jpg
 
Back
Top Bottom