Umejifunza nini kuhusu Siasa za Kiafrika??

Nzilo

Senior Member
Nov 24, 2013
180
0
I have come to learn all about our African politics.... and this is my views. Politics is all about differences, offending, blaming, Hippocratic, killing, abusing, crashing every thing even if some one has a good point, selfishness, unwilling to accept challenges, unscientific......... What is your view?

SHERRIF ARPAIO

JF-Expert Member
Aug 25, 2010
9,543
2,000
I have come to learn all about our African politics.... and this is my views. Politics is all about differences, offending, blaming, Hippocratic, killing, abusing, crashing every thing even if some one has a good point, selfishness, unwilling to accept challenges, unscientific......... What is your view?

Father and son (his successor)
PresidentObiang.jpg

1.png
 
King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
43,916
2,000
Ohoo afrika ni nzuri sana ni bara la mama yangu nasema sikubaliii vita vya mabavu na marisasi pia vita vya ukabila nasema si vizuri ohooo na chuki moyoni jealous eheeee!!
 
Dinazarde

JF-Expert Member
Jan 1, 2014
41,011
2,000
Nimejifunza siasa za Tanzania inapofika uchaguzi hata kama umeshindwa ni kuiba tu kuraa unashindaa,kila kitu rushwaa, ufisadi ndio usiseme ndio kwao Tanzaniaa
Maneno mengi vitendo Zero
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom