Umeingia chooni umemaliza shuguli maji akuna t/paper akuna utafanyaje weekend hii??simu iko mezani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Umeingia chooni umemaliza shuguli maji akuna t/paper akuna utafanyaje weekend hii??simu iko mezani

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Pdidy, Feb 11, 2012.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Feb 11, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 28,231
  Likes Received: 3,155
  Trophy Points: 280
  Anyway ni kukumbushana hasa wakati hu wa weekend tusiamini sana hotel ama baar zetu jamani
  usile ukashiba ukakimbilia kufungua mlango mara umemaliza shuguli kuangalia maji hakuna
  toilrt paper hakuna aiu itakushuka ndugu yangu hakikisha kabla ya kuingia ndani kuna maji
  ama toilet pepa wapwa zangu
  weekend njema
   
 2. L

  Luluka JF-Expert Member

  #2
  Feb 11, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ha ha,mbona unaongea kama vile una experience?
   
 3. Pinokyo Jujuman

  Pinokyo Jujuman JF-Expert Member

  #3
  Feb 11, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 553
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ntachambia Chupi
   
 4. Radhia Sweety

  Radhia Sweety JF-Expert Member

  #4
  Feb 11, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 4,453
  Likes Received: 339
  Trophy Points: 180
  Nitatumia mkojo kama mbadala wa maji.
   
 5. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #5
  Feb 11, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,134
  Likes Received: 247
  Trophy Points: 160
  ndo simpo solusheni
  kama bado mpya ukuta nao huwa unafaa
  afu kwenye mchanga
  mwisho kiatu

   
 6. ossy

  ossy JF-Expert Member

  #6
  Feb 11, 2012
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 866
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  vitambaa vya lesso(vya makamasi) mfukono mkuu! Vinasaidia sana kwa emergency!
   
 7. Mwanakili90

  Mwanakili90 JF-Expert Member

  #7
  Feb 11, 2012
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,571
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  hakuna cha zaidi mi ntang'oa mfuko.
   
 8. roby2006

  roby2006 JF-Expert Member

  #8
  Feb 11, 2012
  Joined: Sep 30, 2011
  Messages: 399
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Mkojo na mavi kipi kinaanza
   
 9. M

  MsafiriBM Member

  #9
  Feb 11, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Simple, ntajichambia soks
   
 10. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #10
  Feb 11, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 29,997
  Likes Received: 5,162
  Trophy Points: 280
  ukiingia toilet na kushusha mzigo bila kuangalia kama kuna maji na tishu ujue WEWE MHUSIKA UTAKUWA NA TATIZO KUBWA SANA UPSTAIRS!!!!!!!!!!!!

  Hata ukiwa unaendesh lazima uende tishu mkononi
   
 11. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #11
  Feb 11, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 8,926
  Likes Received: 1,933
  Trophy Points: 280
  kuna haja nyingine uwezi kukumbuka kuangalia.ila ya kung'oa mfuko nimeipenda.
   
 12. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #12
  Feb 11, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,002
  Likes Received: 477
  Trophy Points: 180
  MAPROSOO kaipenda hii.
   
 13. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #13
  Feb 11, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,002
  Likes Received: 477
  Trophy Points: 180
  Unavaa hivyo hivyo utanawa mbele ya safari.
  MAPROSOO.
   
 14. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #14
  Feb 11, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,168
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Chambia wekundu wa msimbazi kwenye pochi lako, uki2mia wa5 kwa kujiswafi sio mbaya...

  Don't try this at Toilet...
   
Loading...