TANMO
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 11,511
- 11,271
mtoto wa mkulima hana mpango na mambo ya kutabasamu
Sura haimuruhusu kufanya hivyo!!
Kaka Kaiza hiyo kweli...te t ete te
Achanisha hiyo miguu nikwambie kitu!!!
Achanisha hiyo miguu nikwambie kitu!!!
Kaiza sasa ni picha ipi tunaijadili hii ya kubanwa kwa miguu au ile ya JM?
...Kwani hawakusalimiana walipoamka asubuhi au leo jamaa ameamkia mtaa wa saba??Nimegundua JK anansalimia nkewe! What is wrong with that?