UMEGUNDUA NINI KATIKA HIZI picha?

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,385
Hapa ni nyumbani kwa Rais mstaafu Mwinyi
DSC_0046.jpg
 
nimegundua Mwinyi si mdini kama JK, na hakuna udini nchini kama jk anavyousimulia!
 
nimegundua Mwinyi si mdini kama JK, na hakuna udini nchini kama jk anavyousimulia!


Hahaaa!!!!!!! Umenikumbusha Ruksa alivyokula kakibao kwa mjamaa mwenye dini yake (let me call him shujaa kwa mujibu wa....)???????????
 
Kama ni nyumbani kwa mzee ruksa mbona wageni hawajavua viatu!
 
Kumbe Mzee Rukhsa amekwenda shule mambo ya art, chekishia ubunifu wa huo mlango, dirisha ni full mninga na chini zulia la kiajemi. Hakika hapo kwenye entrance hall ya nyumba yake pako poa.
 
Mzee alikuwa hana udini huyo hata kidogo. Pia alikuwa anathamini utamaduni wakitanzania cheki hivyo viti full mkongo? Je hivyo viti kama hivyo unaweza kuvikuta kwa jk? Mkapa? Lowasa? Membe? Thubutuuuuu ni full china sofaa
 
kumbe kuvua viatu ni dini?..mbona mimi huwa naingia navyo tu kwenye nyumba zao..
 
kiboko ya Mwinyi ni huyu hapa.

Unajuta+kwa+kosa+ulilifanya+tena+kumpiga+kibao+Babu+yako-13.jpg


Hapo kamanda sijui anamppoza nini tena??? Jamaa alionekana bonge la shujaa kwa tukio la kudhalilisha

Ahsante Kibaraka na nafurahi kuwa wa kwanza kukugongea lisenk la kiibodi
 
Nilichogundua mimi ni kuwa kama kama sokisi zako zinanuka usivue viatu ila kama ziko poa vua pia kuna upande wakukaa wanaovua viatu na wale wasiovua.
 
Nimegundua kuwa hawo wasiovua viatu wana dini tofauti na waliovua viatu. Kwa muislam kuingia nyumbani na viatu ambacho kinaenda choo na kila kona za dunia ni najisi ( I mean the good muslim)

Ikiwa mimi natia tohara wakiondoka hao jamaa :)
 
Hao waiovua viatu kwa muheshimiwa nahisi sox zinanuka, pia hivyo viti nadhani alipewa zawadi na magereza ama jkt
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom