UMEGUNDUA NINI KATIKA HIZI picha?


Henge

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2009
Messages
6,847
Likes
140
Points
160

Henge

JF-Expert Member
Joined May 14, 2009
6,847 140 160
nimegundua Mwinyi si mdini kama JK, na hakuna udini nchini kama jk anavyousimulia!
 

Futota

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2010
Messages
524
Likes
11
Points
35

Futota

JF-Expert Member
Joined Dec 11, 2010
524 11 35
Kumbe Mzee Rukhsa amekwenda shule mambo ya art, chekishia ubunifu wa huo mlango, dirisha ni full mninga na chini zulia la kiajemi. Hakika hapo kwenye entrance hall ya nyumba yake pako poa.
 

KIBE

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2010
Messages
943
Likes
1
Points
0

KIBE

JF-Expert Member
Joined Nov 23, 2010
943 1 0
Mzee alikuwa hana udini huyo hata kidogo. Pia alikuwa anathamini utamaduni wakitanzania cheki hivyo viti full mkongo? Je hivyo viti kama hivyo unaweza kuvikuta kwa jk? Mkapa? Lowasa? Membe? Thubutuuuuu ni full china sofaa
 

Batale

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2010
Messages
1,071
Likes
446
Points
180

Batale

JF-Expert Member
Joined Nov 20, 2010
1,071 446 180
Nilichogundua mimi ni kuwa kama kama sokisi zako zinanuka usivue viatu ila kama ziko poa vua pia kuna upande wakukaa wanaovua viatu na wale wasiovua.
 

MadameX

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2009
Messages
7,843
Likes
72
Points
145

MadameX

JF-Expert Member
Joined Dec 27, 2009
7,843 72 145
Nimegundua kuwa hawo wasiovua viatu wana dini tofauti na waliovua viatu. Kwa muislam kuingia nyumbani na viatu ambacho kinaenda choo na kila kona za dunia ni najisi ( I mean the good muslim)

Ikiwa mimi natia tohara wakiondoka hao jamaa :)
 

Forum statistics

Threads 1,205,125
Members 457,690
Posts 28,182,856