Umefikia wakati wa Jeshi letu kuajiri watu mwenye Elimu

Mwanaitelejensi

Senior Member
Jan 30, 2011
104
2
Inasikitisha sana kuona Brig Gen akiwa anababaika kujibu maswali ya waandishi wa habari matokeo yake anajibu kwa mkato na ujeuri bila ya kujali Wananchi kuwa wanaangalia na wanataka kujua au kusikia kilichotokea ni nini hasa huko G'Mboto. Hii ndio naashiria ni jinsi gani Jeshi letu lilivyokuwa na vilaza wasiokuwa na Elimu ya upambanuaji wa maelezo au kujua kujibu maswali, anaulizwa swali anajibu tofauti na swali lenyewe. Umefika sasa wa kuajiri watu wenye umri wa kuanzia 18-24 kama nchi nyingine wanavyofanya na kuwapa Elimu ya kutosha. Kwani Jeshi sikuhizi linaendana na Elimu sio kujuana na kupachikana kama anavyofanya Kikwete kuwapa kazi washikaji wake. Kikwete ndio muharibifu wa hii nchi yetu
 
Wacha pumba dogo ..umri huo wote ni wanafunzi wa kata...ndo unataka waongoze jeshi
 
Wacha pumba dogo ..umri huo wote ni wanafunzi wa kata...ndo unataka waongoze jeshi

Sasa unataka watu waajiriwe au wapelekwe Jeshini wakiwa na Umri 30-50? Tangu lini jeshi likachukuwa watu waliozeeka badala ya Vijana. Unawapa mafunzo halafu baada ya miaka 10 wanastaafu its waste of money kuwapeleka wazee kwenye mafunzo muhimu ambayo wengi wao wanapelekwa nje ya nchi kusomea hayo mafunzo halafu wakirudi wanastaafu, wengi hawajui hata maana ya Goodmorning kama sio kupeana ulaji huko jeshini ni kitu gani. Jeshi linatakiwa liwe na Vijana sio Wazee, only Tanzania Jeshi ndio wanachukuwa wazee katika dunia hii, nchi nyingine zote waanzia 18-24 sio Mizee iliyoshindwa Maisha uswahili na kuingizwa Jeshini kwa kujuana. :hand:
 
Hiyo Mizee huko JWTZ imekuwa mivivu kwenda kukagua mizinga kwenye maghala na sio wavivu tu hata akili zao zimekuwa za kivivu kazi zao wanafikiria Ngono na kupiga walalahoi mitaani kwa kuwa hawana elimu ya Kutosha
 
Kwa taarifa za kiintelejensia kuna 'wasomi' kibao ndani ya jeshi letu JWTZ ila bahati mbaya 'wasomi' wa ki-Tanzania ndiyo hivyo tena tazama bungeni, serikalini n.k

JWTZ wana wasomi wenye ngazi za Ujenerali (jenerali kwenda chini mpaka u-brigedia jenerali) ambao wanahesabika Dr. au Prof. kama mfano mmoja kati ya wengi jeshini- Brigedia-Jenerali Prof. Kohi Yodan (mwana-sayansi neurosurgeon) na wengine kibao, ukishuka U-kanali kwenda major Ph.D kibao, bado Masters, sema tu nchi yetu ndiyo hivyo tena.
 
Back
Top Bottom