Kwangu inatosha kabisa akijua tofauti kati ya LED, YERROW na GLEEN, herufi si muhimu kwa kazi hii.Utamwamini vipi mtu akupakie rangi nyumbani kwako wakati hawezi tofautisha baina ya herufi L na R
Kwa AJIRI = kwa AJILI
View attachment 1247965
Kurya at its bestUtamwamini vipi mtu akupakie rangi nyumbani kwako wakati hawezi tofautisha baina ya herufi L na R
Kwa AJIRI = kwa AJILI
View attachment 1247965
Utamwamini vipi mtu akupakie rangi nyumbani kwako wakati hawezi tofautisha baina ya herufi L na R
Kwa AJIRI = kwa AJILI
View attachment 1247965
Kuna baadhi ya kazi zinahitaji ujuzi na haziitaji mbwembe za lugha
Sio utahishia...ni utaishia"Unaleta siasa kwenye kazi za watu, utahishia kubaya!"
Unakuta mtu anaandika namna hiyo huku kakomaa kabisa, hata aibu hana.
Wahindi Kingereza sio lugha yao huwezi kuwalaumuMleta uzi ni mshamba, sio Tanzania pekee, je amewahi kusikia English ya India?
Hawastahili kuaminiwa kama madaktari?
Inaweza kuleta shida kwenye mawasiliano,ila ujuzi ukabaki pale paleMkuu, ukibadilisha herufi moja tu katika neno linaweza kuleta maana nyengine
Sio mbwembwe, hili tatizo limekuwa kubwa, liko magazetini, radio i, kwenye TV nk