Elections 2010 umefika wakati wa maridhiano ya kitaifa tz tutake tusitake

Oct 12, 2010
29
0
piga kelele usichoke kuwa kuna haja kubwa kwa sasa kuwa na maridhiano ya kitaifa wananchi tumesha jeruhiwa sana kisiasa kiuchumi na kijamii dawa ni MARIDHIANO JK kaanza vizuri kwa kutamka kuwa wote tumeshinda kilichobaki wakae na DWPS Waangalie tulikotoka tuko wapi na tunaelekea wapi waachane na wote wenye misimamo mikali mtaandika historia mpya nchini atakaye kataa MARIDHIANO ni adui no MOJA wa taifa hili KILA MWENYE MWILI AU MALAIKA/JINI HAPA TANZANIA TUSEME AMINA IISHI TANZANIA WAISHI WATANZANIA
 
Maridhiano ya taifa hayafikiwi kwa bla bla, bali kwa vitendo. Aina budi ieleweke ugomvi si JK, bali sera zake zinazosababisha rasilimali ya nchi kuwafaidisha watu wachache, wakati walio wengi wanaendelea kudidimia kwenye umasikini wa kutupwa.Hivyo kama Jk anataka kuwepo maridhiano ya kitaifa hana budi aitisha mjadala wa kitaifa ili wananchi wenyewe wamwelezee vipaumbele vyao.
 
Back
Top Bottom