Jamani moja ya ahadi za Mbunge wangu wa Songea Mjini Mh Nchimbi ktk uchaguzi wa 2005 nikutupatia umeme wa uhakika ndani ya miaka miwili mara baada ya kuchaguliwa lkn miaka inakatika hata dalili hakuna sasa sijui alikuwa akimaanisha miaka 2 ya mwisho au ya mwanzo jamani miaka 52 toka uhuru lkn miongoni mwa mikoa inayokabiriwa na shida ya umeme na maji basi songea inaweza kuwa inaongoza tusaidieni kufikisha ujumbe kwa mh labda kasahau