Umefika nyumbani unakuta barua ya mwanao hii ungefanyaje?

Apollo

JF-Expert Member
May 26, 2011
4,920
3,218
UMEFIKA NYUMBANI UNAKUTA
BARUA YA MWANAO HII
UNGEFANYAJE?
Baba na mama,ni matumaini
yangu kuwa mtasoma ujumbe
wangu huu kwenye karatasi
niliyoiweka juu ya meza,naomba
msishtuke mana ni mambo ya
kawaida kwenye maisha
tunayoishi,najua mtaumia kwa
vile bado nasoma
na ndo nipo kidato cha
kwanza,Napenda kuwajulisha
kwamba sasa hivi mnaposoma hii
barua sipo nyumbani,nimetoroka
mana nimegundua nina uwezo
wa kujitegemea kwa sababu mi ni
kijana mwenyewe umri wa miaka
14 na ninajua kipi chema na kipi
kibaya.tangu mwezi mmoja
uliopita nilikuwa na uhusiano na
binti mmoja aliyeitwa
Rachel,mwenye umri wa miaka 27
na kwa sasa ndo naishi naye
kwenye chumba
alichopanga.Nilipokuwa
nyumbani sikuwa napata hela za
kutosha ila sasa nimeanza
kushika noti za shilingi
10,000,msichana niliyenaye ni
mzuri sana wa umbo na
ninampenda sana,amenifundisha
njia za kutafuta hela.Amenipangia
kazi ya kuuza madawa ya kulevya
na yeye ikifika usiku anaenda
kuuza mwili wake,basi kila siku
tunapata hela ya kutosha,huyu
mchumba wangu ni msichana
mwenye bidii,kwa siku analala
masaa 6 tu maana mwanaume
yeyote akija lazima awe naye
chumbani kwa mda wa masaa
3.Msiwe na hofu,nipo salama
kabisa na nimeamua kumwoa
Rachel mana ni kila kitu kwangu.
Pia amenunua gari la kubebea
mbao kwahiyo biashara inaenda
vizuri,Rachel ameenda kupima
afya na
amekutwa na upungufu wa kinga
mwilini,mara nyingi namridhisha
anapotaka kitu flani,iwe kufanya
naye mazoezi ya viungo au
kufanya kila anachotaka,si mnajua
unapokuwa na mgonjwa
unakuwa naye karibu,ila mi pia
sijihisi vizuri mana kila saa
nakohoa tu na sina uhakika kama
nimeathirika,.Tumepanga baada
ya miaka miwili
tutawatembelea,nadhani mpaka
miaka miwili iishe atakuwa
ameshajifungua,na nifuraha
yangu mtamwona mjukuu
wenu.Wazazi wangu sina la
kuongeza kwaherini Mungu
akipenda tutaonana.
Baba na mama mi nipo chumbani
kwangu, mnachokisoma ni h/
work ya mwalimu wa kiswahili
alituambia tutunge hadithi
fupi,naomba iangalieni kama
kuna makosa.
 
UMEFIKA NYUMBANI UNAKUTA
BARUA YA MWANAO HII
UNGEFANYAJE?
Baba na mama,ni matumaini
yangu kuwa mtasoma ujumbe
wangu huu kwenye karatasi
niliyoiweka juu ya meza,naomba
msishtuke mana ni mambo ya
kawaida kwenye maisha
tunayoishi,najua mtaumia kwa
vile bado nasoma
na ndo nipo kidato cha
kwanza,Napenda kuwajulisha
kwamba sasa hivi mnaposoma hii
barua sipo nyumbani,nimetoroka
mana nimegundua nina uwezo
wa kujitegemea kwa sababu mi ni
kijana mwenyewe umri wa miaka
14 na ninajua kipi chema na kipi
kibaya.tangu mwezi mmoja
uliopita nilikuwa na uhusiano na
binti mmoja aliyeitwa
Rachel,mwenye umri wa miaka 27
na kwa sasa ndo naishi naye
kwenye chumba
alichopanga.Nilipokuwa
nyumbani sikuwa napata hela za
kutosha ila sasa nimeanza
kushika noti za shilingi
10,000,msichana niliyenaye ni
mzuri sana wa umbo na
ninampenda sana,amenifundisha
njia za kutafuta hela.Amenipangia
kazi ya kuuza madawa ya kulevya
na yeye ikifika usiku anaenda
kuuza mwili wake,basi kila siku
tunapata hela ya kutosha,huyu
mchumba wangu ni msichana
mwenye bidii,kwa siku analala
masaa 6 tu maana mwanaume
yeyote akija lazima awe naye
chumbani kwa mda wa masaa
3.Msiwe na hofu,nipo salama
kabisa na nimeamua kumwoa
Rachel mana ni kila kitu kwangu.
Pia amenunua gari la kubebea
mbao kwahiyo biashara inaenda
vizuri,Rachel ameenda kupima
afya na
amekutwa na upungufu wa kinga
mwilini,mara nyingi namridhisha
anapotaka kitu flani,iwe kufanya
naye mazoezi ya viungo au
kufanya kila anachotaka,si mnajua
unapokuwa na mgonjwa
unakuwa naye karibu,ila mi pia
sijihisi vizuri mana kila saa
nakohoa tu na sina uhakika kama
nimeathirika,.Tumepanga baada
ya miaka miwili
tutawatembelea,nadhani mpaka
miaka miwili iishe atakuwa
ameshajifungua,na nifuraha
yangu mtamwona mjukuu
wenu.Wazazi wangu sina la
kuongeza kwaherini Mungu
akipenda tutaonana.
Baba na mama mi nipo chumbani
kwangu, mnachokisoma ni h/
work ya mwalimu wa kiswahili
alituambia tutunge hadithi
fupi,naomba iangalieni kama
kuna makosa.
.
Kama ni copy, paste and post this is more than too much!
 
.
Kama ni copy, paste and post this is more than too much![/QUOTE]

Duh huyo jamaa ni noma kwa kudesa aisee
 
yaaaan mijitu mingne ipo xooo judgmental,humu kila cku new pipz znakuja,xo akirudia xo mbaya ati...me mwenyewe ndo mala ya kwanza kuixoma,
 
dogo anaweza kuleta madhara bila kutarajia, maana unaweza ukapata mshtuko
wa moyo na kuanguka kabla hujamaliza kusoma stori yote.
 
Back
Top Bottom