Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nahisi kuna tukio la KE kusaula hapo,ndio maana KE wenzake wamenuna huku ME wakifurahia
nahisi kuna tukio la KE kusaula hapo,ndio maana KE wenzake wamenuna huku ME wakifurahia
simu ya tochi shida sana,ila wakikaza sura wanakuwa wabayaaaaaKuna mpira wa gofu wanaukwepa hapo ndo maana wamekaza sura angalia vizuri hapo kwa mama aliyevaa shati la blue bahari utaona mpira wa gofu
Ndio wanakwepa kitufe cheupe
Au mtoto sio riziki sisi tunasema mamaKuna mpira wa gofu wanaukwepa hapo ndo maana wamekaza sura angalia vizuri hapo kwa mama aliyevaa shati la blue bahari utaona mpira wa gofu
Ni manundu tu.