B.G TANTAWI
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 495
- 375
Wadau!
Nimeambiwa kuwa nimechelewa kupeleka Posa Ukuryani, kumbukeni kuwa ilikuwa nipeleke posa kwao Mchumba wangu toka Mwaka huu mwanzoni kabisa ila wakawa wanaiahirisha kwamba baba hayupo, mara baba ana wageni toka nje ya nchi, sasa mimi nikawa natumia fursa hiyo kumalizia ujennzi wa Nyumba yangu, nyumba imeisha mwezi wa nne nikatoa taarifa kwao kuwa tarehe 25 mwezi huu naleta posa, nikajibiwa kuwa Nimechelewa.