Umebakiza miaka mingapi ya kuishi kama life expectancy ni miaka 45?

BABA TUPAC

JF-Expert Member
Sep 30, 2015
1,526
3,801
Kwa hapa Tanzania inakadiriwa kwamba miaka ya kuishi ni 45, japo wapo ambao wanafika mpaka 80 lakini wengi ni wacheza kwenye 45 mpaka 50 na baadhi mpaka 62.

Yaani miaka mitatu baada ya stress za kustaafu na mafao yametokomoea kusikojulikana.

Je, ikiwa umri wa kuishi ni miaka 45 wewe umebakiza mingapi?

Mimi nimebakiza miaka miwili.

Wewe je?
 
Hakuna kitu. Nitaidhi 100+ years. Hiyo life expectancy yao ikae kule. Shindwa kufa haraka kwa Jina LA Yesu.
 
Hakuna kitu. Nitaidhi 100+ years. Hiyo life expectancy yao ikae kule. Shindwa kufa haraka kwa Jina LA Yesu.
Dini ikikukaa sana unakuwa kama mlevi, sasa kiuhalisia we zaidi ya miaka mia utafika kweli?
 
Life expectancy ya nchi wamejumuisha na watoto wanao zaliwa na upungufu wa madini mwilini na kufariki mda mufupi kwa kukosa chakura mjarabu kwa mama zetu wawapo wajawazito hususan ni ijijini , so kwaujumla mimi siogopi hiyo ratio
 
Mambo mengi kuhusu historia zetu yamewekwa na mzungu. Babu na Bibi zangu kwa upande wote wameishi zaidi ya miaka themanini. Halafu maisha Yao yalikuwa magumu. Wakuu tuwe makini Sana. Sometimes is our lifestyles kill us. The lifestyles which we have copy.
 
Back
Top Bottom