Umdhaniaye sie kumbe Ndiye. Kenya hongera sana!

Uhuru busara anazo unaetaka awe kama hivyo amenyimwa busara bali amejaaliwa papara...huyu mtu wetu hana ushawishi wowote ule zaidi ya kuegemea kwenye udini na uchama, na ukabila ingawa kiuhalisia sio wa kabila hilo maana ni mhutu aliejifanya msukuma hivyo lazima a base kwenye hivyo vipengele ili aweze kushawishi watu
 
makamanda bhana, yaani wapo tayari kumpa adui t.go ili mradi tu kumkomoa ngosha...maajabu haya!
 
makamanda bhana, yaani wapo tayari kumpa adui t.go ili mradi tu kumkomoa ngosha...maajabu haya!
Ukweli unauma, jadili hoja sio matusi, ndo maana nchi hii imeangamia kwa kukosa maarifa. Juzi nimetoka kijijini, wakulima wanalia. Wana mazao lakini wamezuia wasiuze kwa wafanyabiashara wanaotoka nje ya nchi.
  • Wanawalazimisha wauze kwenye vyama vya misingi lkn hivyo vyama havia hela.
  • Wanalazimishwa wanunue lline za simu na kujisajiri ili wakilipwa malipo yapitie kwenye line za simu
  • Shule zimefunguliwa hawana hela huku mazao yao wanayo, wanaogopa kuuza kwani wanunuzi na wauzaji wanawekwa ndani.
  • Lkn huku tunashangilia upupu sijui ndege sijui madaraja.
Hivi kweli viongozi wamesahau kuwa wanaongoza nchi nzima na badala yake wanaishia kufanya maonesho kwenye eneo moja ( Silitaji) Mungu tumemkosea nini sis?
 
Mwaweza kujionea wenyewe kwa hiyo clip. Huku kwetu Tanzania mihemko ndiyo inatawala. Eh Mwenyezi Mungu tunaomba rehema.View attachment 819460

Umewahi kunywa juice taamuuu,
Lakini mwishoni ndani ya bilauri unayoitumia ukakutana na Inzi au nywele?

Yak, Ndio hii sasa.

Hivi Uhuru hapo mwishoni anaposema,
Ameomba kwa jina la
'Babayake Yesu Kristo',
Vipi Wakenya-Waislam na Wengine wasio Wakristo,

-Wanaitikia Amin?

Vipi kuhusu hisia zao?
 
Umewahi kunywa juice taamuuu,
Lakini mwishoni ndani ya bilauri unayoitumia ukakutana na Inzi au nywele?

Yak, Ndio hii sasa.

Hivi Uhuru hapo mwishoni anaposema,
Ameomba kwa jina la
'Babayake Yesu Kristo',
Vipi Wakenya-Waislam na Wengine wasio Wakristo,

-Wanaitikia Amin?

Vipi kuhusu hisia zao?
Issue ni kuwa kitu kimoja, Wakenya tuliwadharau kwa ukabila kwa sasa wako mbali hatuwafikii. Hata ukiangalia utajilinganisha nao?

Kafanikiwa kuwaweka pamoja ukilinganisha na wa kwetu. heli kuweka pamoja kuliko kutawanya.
 
Back
Top Bottom