UMBULULA; Wizara haitambui degree za Wakufunz, But za Mulugo na Mchome na Mkurugenz....POAZ!


Pasco_jr_ngumi

Pasco_jr_ngumi

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2010
Messages
1,809
Points
1,225
Pasco_jr_ngumi

Pasco_jr_ngumi

JF-Expert Member
Joined Nov 20, 2010
1,809 1,225
habari wana JF
Hali za ajira, promoshen na utofauti wa mishahara ni majanga katika vyuo vya ualimu.....

Mtu ameanza kazi mwaka jana anamzidi mshahara mfanyakazi wa miaka 10 iliyopita!!

Back to topic: wafanyakazi waliojiendeleza digrii zao haztambuliwi! wapo wengi walio na degree ambazo si za ualimu. kinachonishangaza ni kuwa maboss wa wizara na wao wana degree ambazo si za ualimu..... mfano ni katibu mkuu ambaye ni mwanasheria na mkurugenz wa ualimu ambaye MPA....

Inakuja akikini mtumishi mwenye Masters ya Linguistic analipwa mshahara wa Diploma ya Ualimu alioanzia nao???.
 
F

FreedomTZ

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2012
Messages
1,122
Points
1,250
F

FreedomTZ

JF-Expert Member
Joined Jul 18, 2012
1,122 1,250
Hapo umenena ukweli. Katibu mkuu anapaswa kuwa mtaalam wa mambo anayosimamia. Mwanasheria atakuwaje mtendaji mkuu wa wizara ya elimu? Watanzania tumekaa kimya tu
 
F

FreedomTZ

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2012
Messages
1,122
Points
1,250
F

FreedomTZ

JF-Expert Member
Joined Jul 18, 2012
1,122 1,250
Kuhusu maslahi wakufunzi wa vyuo vya ualimu undeni chama cha kutetea maslahi yenu. CWT imeshashindwa kazi
 
Msingida

Msingida

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2010
Messages
4,542
Points
2,000
Msingida

Msingida

JF-Expert Member
Joined Dec 1, 2010
4,542 2,000
Hii ndio Tanzania niijuayo.
Big result now
 
I

iron.heart

Member
Joined
Apr 12, 2013
Messages
46
Points
0
I

iron.heart

Member
Joined Apr 12, 2013
46 0
Jaman hebu nisaidieni kidogo, mi
nasoma SUZA, nilikwenda kuchukua
boom la mara ya pili ktk first semister
wamenambia jina langu halijasajiliwa,
inakuaje apo wakat mara ya mwanzo
nilipoingia chuo jina langu lilikuemo
na sign nikaweka kuthibitisha
nimepokea hilo boom? Pls kwa
anaeweza kujua possible cause ya hii
kitu, mana nimewauliza authorities ila
wanamajib mabovu yakutia hasira.
 
Pasco_jr_ngumi

Pasco_jr_ngumi

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2010
Messages
1,809
Points
1,225
Pasco_jr_ngumi

Pasco_jr_ngumi

JF-Expert Member
Joined Nov 20, 2010
1,809 1,225
Jaman hebu nisaidieni kidogo, mi
nasoma SUZA, nilikwenda kuchukua
boom la mara ya pili ktk first semister
wamenambia jina langu halijasajiliwa,
inakuaje apo wakat mara ya mwanzo
nilipoingia chuo jina langu lilikuemo
na sign nikaweka kuthibitisha
nimepokea hilo boom? Pls kwa
anaeweza kujua possible cause ya hii
kitu, mana nimewauliza authorities ila
wanamajib mabovu yakutia hasira.

nenda hadi board ya mikopo, utapata suluhisho.... usipofuatilia mwenyewe utashondwa kupewa huo mkopo na kutatuliwa shida yako
 

Forum statistics

Threads 1,285,885
Members 494,778
Posts 30,877,658
Top