Umbeya utakufikisha Pabaya, Mjini HAPA

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,784
2,000
67837_389230694489560_1845498930_n.jpg
 

MadameX

JF-Expert Member
Dec 27, 2009
7,812
2,000
mmmh sioni hilo,hujawahi kuona vita ya kuku na nyoka wewe........nimeshuhudia live
 

Father of All

JF-Expert Member
Feb 26, 2012
4,863
2,000
Hapo mmbea kati ya hao ndege na huyo nyoka na mleta mada nani? Kwani lazima umbea au hata kutafuta riziki kama jamaa wanavyoonekana. Mwanangu Mbuzi mzee umejuaje kuwa mwenzio anasutwa na wenzio?
 

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,784
2,000
Hapo mmbea kati ya hao ndege na huyo nyoka na mleta mada nani? Kwani lazima umbea au hata kutafuta riziki kama jamaa wanavyoonekana. Mwanangu Mbuzi mzee umejuaje kuwa mwenzio anasutwa na wenzio?


Wambea ni hao Kanga, wamzunguka Joka kama Mtalii, huku Jogoo wakidadisi, eti ni nini hiki chatembea bila miguu. Joka, yupo kazini, eti anatafuka kula, walahi riziki ya kujifanya mnyonge, huku unanyemelea maisha, si riziki bali ni uuwaji. Waacheni hao Kanga wajisogeze, karibu karibu kwa Chatu, huku Chatu akichagua, nani awe kitoweo.

Leo Joka kafaidi, kula Kanga bila kulipa bei. Umbeya utawafikisha pabaya, hawa Kanga kushangaa Joka.
 

taamu

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
6,397
2,000
hao sio wambea wanajaribu kumshangaa vipi anawawangia mchana wajua kali.
 

Kinte

Member
Jun 27, 2009
75
125
mbona inaonyesha hapo kanga wengine hawana usikivu kabisa! mawazo hayapo hapo kabisa!! wataishia kuliwa tu...
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom