Umbea wa town kutoka kwa Muke ya Simbaaa (Zari)

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,495
9,275
Zari the boss lady maarufu kama mama tiffa mke wa msanii maarufu bongo Diamond ameweka picha Snapchat ya kuwataka watu waache kumfananisha na malaya ambao hawajawahi hata kuingia leba. Anadai kwamba ana miaka 35 na watoto wanne lakini bado yupo hot.

Tena ukizingatia na tetesi zinazoendelea chinichini kuhusu mimba aliyonayo mrembo huyo ambayo inasemekana kwamba sasa azaliwa mtoto wa kiume.
Duniani watu wana maneno jamani.
1467102472014.jpg
 
xZari-1.jpg.pagespeed.ic.71bcU5l5sj.webp

Snap chart kumekucha yule the boss lady Zari. Wa Diamond amepost katika uwanja wake wa snap chart kuwa asifananishwe na warembo wengine amabo hawajawahi kwenda labour hata siku moja

"Msinifananishe na virembo malaya vyenu ambavyo havijawahi kwenda labour hata siku moja nina miaka 35 na watoto 4 lakini bado mimi mrembo ninaita " mwisho wa nukuuu
 
Snap chart kumekucha yule the boss lady Zari. Wa dimond amepost katika uwanja qake wa snap chart kuwa asifananishwe na warembo wengine amabo hawajawahi kwenda labour hata siku moja
"Msinifananishe na virembo malaya vyenu amabavyo havijawahi kwenda labour hata siku moja nina miaka 35 na watoto 4 lkn bado m mrembo ninaita " mwisho wa nukuuu
huu umbeya ngoja nishuke chini huu wa moto moto nikakazie swaumu
 
Nilidhani ameachwa live, kumbe amewachana live?

ha ha ha rekebisha basi kichwa cha habari yako.
 
Snap chart kumekucha yule the boss lady Zari. Wa dimond amepost katika uwanja qake wa snap chart kuwa asifananishwe na warembo wengine amabo hawajawahi kwenda labour hata siku moja
"Msinifananishe na virembo malaya vyenu amabavyo havijawahi kwenda labour hata siku moja nina miaka 35 na watoto 4 lkn bado m mrembo ninaita " mwisho wa nukuuu
Ungeandika kwa Kingereza kama alivyoandika kisha ndo utafsiri!



Msinifananishe na Mal*ya Ambao Hawajawahi Kwenda Labour Kujifungua – Zari



Nani amemchokoza Zari? Kwasababu kwa kile alichokipost kwenye mtandao wa Snapchat inaonekana ameguswa pabaya na amemind!

Najua unajiuliza kwanini hajapost Instagram – ni kwasababu kwa alichokiandika, povu lake lingekuwa la haja! Snapchat ya kishua, mastaa wako huru kusema chochote na hakuna povu kama mitandao mingine. Amesema nini?

“Na wengine acheni kunifananisha na mal*ya ambao hawajawahi kwenda labour,” aliandika. “Mtoto mmoja tu kwenye labour na watakaonekana kama tikiti maji lililopasuliwa. Acheni!”

“Nikiwa na miaka 35 na watoto wanne, badi mimi ni mrembo mno kunifananisha, naomba.”

Tazama kwa picha alichokiandika:
 
Watoto hawa! Kula wana kula, kulala wana lala lakini mh!! malayaaa
 
hii picha ya juzi mkuu huyu mwanamama ni mzuri sana na uzuri wa huyu sababu ni chotara kwa ushauri wangu wema Sepetu asihangaike na Zari maana hamuwezi huyu Zari ni mzuri sana halafu kila akizaa uzuri unaongezeka
Mm namkubali sana ni mzuri sana, uchotara wake unambeba, wema hawezi kumfikia hata kwa nukta
 
Mm namkubali sana ni mzuri sana, uchotara wake unambeba, wema hawezi kumfikia hata kwa nukta
mama ubaya anahangaika sana kwa huyu dada hadi namuonea huruma na umri nao unamkimbia na ndio Tz yote wameshamuona kitumbua chake hana pa kushika sasa
 
Back
Top Bottom