umbali wa shule na mahali anapoishi mwanafunzi unachangia kufeli kwa wanafunzi. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

umbali wa shule na mahali anapoishi mwanafunzi unachangia kufeli kwa wanafunzi.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by twenty2, Jul 25, 2011.

 1. twenty2

  twenty2 JF-Expert Member

  #1
  Jul 25, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 296
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni kweli kwasababu utakuta mtoto anakaa tabata na shule anasomea posta kwa umbali anaoutumia kwa kwenda shule na kurudi nyumbani anachoka anakosa ata mda wa kujisomea na ndio kinachosababisha kufeli kwa wanafunzi kwenye mitihani yao.
   
Loading...