Umbali wa kutoka Dar kuelekea makao makuu ya mikoa mingine hapa nchini (Regional main routes)

Inside10

JF-Expert Member
May 20, 2011
28,955
30,249
IIJUE TANZANIA NA MIKOA YAKE

UMBALI WA KUTOKA DAR - ES - SALAAM KUELEKEA MAKAO MAKUU YA MIKOA MINGINE HAPA NCHINI. (REGIONAL MAIN ROUTES).

1. DAR - ARUSHA: 646 KM
2. DAR - KAHAMA: 961 KM
3. DAR - BABATI via moro: 876 KM
4. DAR - BARIADI: 1127 KM
5. DAR - BUKOBA via kahama: 1433 KM
6. DAR - DODOMA: 451 KM
7. DAR - GEITA: 1228 KM
8. DAR - IRINGA: 492 KM
9. DAR - KIBAHA: 35 KM
10. DAR - KIGOMA via Itigi: 1258 KM
11. DAR - KIGOMA via Kahama: 1476 KM
12. DAR - LINDI: 452 KM
13. DAR - MBEYA: 822 KM
14. DAR - MOROGORO: 192 KM
15. DAR - MOSHI: 566 KM
16. DAR - MPANDA via Itigi: 1383 KM
17. DAR - MTWARA: 556 KM
18. DAR - MUSOMA: 1370 KM
19. DAR - MWANZA: 1152 KM
20. DAR - NJOMBE: 710 KM
21. DAR - SHINYANGA: 989 KM
22. DAR - SINGINDA: 696 KM
23. DAR - SONGEA via Moro: 949 KM
24. DAR - SONGEA via Lindi: 1054 KM
25. DAR - SUMBAWANGA: 1150 KM
26. DAR - TABORA: 829 KM
27. DAR - TANGA: 354 KM

ONGEZEA MKOA ULIOKOSEKANA NA KM ZAKE!
--------------

Tanroads.PNG
 

Attachments

  • 1446798272-Tanzania Road Distance Chart.pdf
    41.3 KB · Views: 750
Asante kwa hii info, ila ningependa kufahamu zaidi, hizo kms zinaanzia wapi Dsm; Je, ni kuanzia Ubungo Mataa au ni kuanzia inapoanza Morogoro road pale City Centre?

Tujulishe pls.
 
Asante kwa hii info, ila ningependa kufahamu zaidi, hizo kms zinaanzia wapi Dsm, je nikuanzia ubungo mataa au nikuanzia inapoanza morogoro rd pale city centre? tujulishe pls.
Swali.la msingi sana.
Ila nahisi ni kuanzia ubungo stand hadi stand ya mji husika
 
Asante kwa hii info, ila ningependa kufahamu zaidi, hizo kms zinaanzia wapi Dsm, je nikuanzia ubungo mataa au nikuanzia inapoanza morogoro rd pale city centre? tujulishe pls.
Kwenye mnara wa mji ndipo penys kitovu cha kuanzia kuhesabu kms,.. Let's say pale Posta kwenye sanamu ya askari.
 
Back
Top Bottom