Umati wa watu waliosongamana katika mazishi ya Maalim Seif wakiwa hawajavaa barakoa

Itakuwa wao wanaitisha korona sio korona kuwatisha wao...nchi kilamtu kawa jiwe ubabe ubabe daaadek
 
Mkuu so logic yako ipo kwamba Hawa virus wanakaa hewani free!
Hawa virus usambaaji wake ni through droplet ambazo zimebeba hao virus kutoka KWA mtu moja kwenda kwenda KWA mwingine, so mask Kama kila mwananchi anaweza kuitumia effectively ,uwezo wa kuzuia kusambaa KWA virus inaweza kua even 60% ,
Kama Hawa virus wangekua free ni air which we breath daily , may be Kama gas ya sum ,dunia hii KWA mda mfupi tangu kuanza tulisha isha,
So mask inasaidia kuzuia au kutrap drops zenye virus to be not inheled, na elewa drops tunazozungumzia hapa zile invisible microdrops,
VAA MASK MKUU , NA MWAMBIE MWINGINE AVAE, karibu kwa hoja au swali lingine,
Mkuu vipi kama hatuna uwezo wa kuzibadili kila mara na ile hali ya kuzishika kila mara kwa matumizi ya mdomo?
Na tunaambiwa wadudu wanakaa hata kwenye nguo muda kadhaa
 
Mtu mweusi ni noma sana!Usipojua tena ni kwa nini ni vyema na haki kwa mtu mweusi kubaguliwa basi utakuwa una matatizo makubwa sana ya akili.

Imagine watu wanakufa kwa wingi kwa Corona lakini still watu wanakusanyika kwa kusongamana bila kuvaa barakoa na bila ya kuchukua tahadhari zozote zile na hata hofu hawana.

View attachment 1705301

-Wananchi wakiwa wamekusanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja mjini Unguja kusubiri mwili wa Mwendazake Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Seif Sharif Hamad.

-Baada ya suala, mwili huo utasafirishwa kwenda kisiwani Pemba kwa ajili ya mazishi leo jioni katika eneo la Mtambwe.
Hii inaitwa super spreader event my god
 
Sasa wewe ndo muelewa.
Na vipi virusi haviwezi kuingia kupitia ngozi na masikio na macho?
Labda KWA tafiti za badae kadri kirusi hichi kinavyo zidi fanya mutations , japo nakubaliana na wewe kwamba KWA njia moja au nyingine masikio, macho zipo connection , na upper respiratory tract,kupitia vitundu vidogovidogo, but , KWA KUA makazi mahalum ya kirusi hiki ni kwenye mapafu , tunategemea direct inhalation iwe ndo njia kuu kupitia milango mikuu miwili hasa pua na mdomo, KWA drops zilizobeba virus,
KWA mantiki hii si rahisi virus hivi kupitia macho na masikio na hata ikitokea mbele inaweza kuwa KWA asilimia 0.5% .Hata hivyo mpaka Sasa sijaona tafiti inayozungumzia hili, karibu kwa hoja au swali lingine
 
Sasa kama virusi vinapitia kwenye mapafu.
Hichi kipimo kipya cha Corona cha kupitia haja kubwa imekaaje hii?
Labda KWA tafiti za badae kadri kirusi hichi kinavyo zidi fanya mutations , japo nakubaliana na wewe kwamba KWA njia moja au nyingine masikio, macho zipo connection , na upper respiratory tract,kupitia vitundu vidogovidogo, but , KWA KUA makazi mahalum ya kirusi hiki ni kwenye mapafu , tunategemea direct inhalation iwe ndo njia kuu kupitia milango mikuu miwili hasa pua na mdomo, KWA drops zilizobeba virus,
KWA mantiki hii si rahisi virus hivi kupitia macho na masikio na hata ikitokea mbele inaweza kuwa KWA asilimia 0.5% .Hata hivyo mpaka Sasa sijaona tafiti inayozungumzia hili, karibu kwa hoja au swali lingine
 
Vizuri Sana.
Lakini kesi ya Corona na tb ni tofauti.
Unataka kusema ukivaa barakoa ukavuta pumzi vile vidudu vya Corona vinabaki kwenye barakoa?.
Na kama unavuta pumzi hata ukiwa umevaa barakoa Ile hewa uliyovuta hauwezi kuwa imebeba virusi vya Corona?.
Maana vile virusi vina kaa kwenye hewa.
Kumbe unabisha kitu ambacho hata huna uelewa nacho...badala ya kubishana hapa nenda ka google basi uelewe vizuri vinapoambukizwa kwa njia ya hewa ni kiyaje? Hlf poa soma zile surgical barakoa zina uwezo wa kukinga kwa percent gani... na kuwa na social distancing kunasaidiaje?? We akili zako virusi vimejaa hewani kama air dust...???
 
wewe Pia HAUNA MSAADA Wowote NI furushi Pia.
Kumbe unabisha kitu ambacho hata huna uelewa nacho...badala ya kubishana hapa nenda ka google basi uelewe vizuri vinapoambukizwa kwa njia ya hewa ni kiyaje? Hlf poa soma zile surgical barakoa zina uwezo wa kukinga kwa percent gani... na kuwa na social distancing kunasaidiaje?? We akili zako virusi vimejaa hewani kama air dust...???
 
Mkuu vipi kama hatuna uwezo wa kuzibadili kila mara na ile hali ya kuzishika kila mara kwa matumizi ya mdomo?
Na tunaambiwa wadudu wanakaa hata kwenye nguo muda kadhaa
Mkuu zipo mask zetu pia ambazo ni za vitambaa zinauzwa, ambazo unauwezo wa kuifua kila jion utokapo kwenye miangaiko, na zipo zile za N95 specific KWA watoa huduma, KWA wagonjwa,
KWA sisi hata iyo ya kitambaa bado inatufaa,
Angalizo kuvaa mask lazima pia kuendana na kunawa maji tirilika, kila wakati ambapo utakua pia umeondoa vimelea kwenye mikono so hata barakoa yako ukiishikashika kila Mara Mara bado unakua katika mazingira salama,
Kwamba vinakaa mpaka kwenye nguo , iyo sio hoja , alihali umevaa barakoa yako , unajitahidi kunawa mikono, unakua umeimarsha ulinzi wasiingie kwenye njia yako ya hewa
 
Hii ni hatari, hatari kubwa sana, hakuna cha barakoa wala mita moja na ukizingatia "MDUDU (Covid-19)" ndio kaisha anza kibarua chake kwa kasi ya 4G ndani ya Ikulu ya Zanzibar colabo Ikulu Tanzania.

Kwenye huu mkusanyiko mdudu anachekelea tu huko alipo, anajua atazikusanya roho nyingi za wabishi na wazembe wasiomuogopa kwenye huu umati. Ataacha mayatima na wajane wengi sana mwaka huu na mapengo yasiozibika.

Tanzania tuna raia approx. Millioni 60, ila tukipimwa wote basi wenye kirusi si chini ya Millioni 30 mpaka sasa.
Corona ingekuwa na athari za kama hivyo ulivyoieleza basi tusingekuwa tunabishana humu kuwa ipo au haipo,toka mwaka jana tuliacha mapema sana kuzingatia kujikinga na corona na ilipofika wakati wa kampeni ndio ikawa kabisa hatufikirii corona tena tunawaza uchaguzi humu mitandaoni ilikuwa ni mwendo wa kushindanisha mgombea gani kajaza watu wengi kwenye mkutano wake wa kampeni(tena bila barakoa) nafikiri hayo uliyoyaeleza tungeyaona muda tu.
 
Mtu mweusi ni noma sana!Usipojua tena ni kwa nini ni vyema na haki kwa mtu mweusi kubaguliwa basi utakuwa una matatizo makubwa sana ya akili.

Imagine watu wanakufa kwa wingi kwa Corona lakini still watu wanakusanyika kwa kusongamana bila kuvaa barakoa na bila ya kuchukua tahadhari zozote zile na hata hofu hawana.

View attachment 1705301

-Wananchi wakiwa wamekusanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja mjini Unguja kusubiri mwili wa Mwendazake Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Seif Sharif Hamad.

-Baada ya suala, mwili huo utasafirishwa kwenda kisiwani Pemba kwa ajili ya mazishi leo jioni katika eneo la Mtambwe.
Idadi yao yawezafikia ngapi, ili tukadirie kura alizopata? Ingawaje uhusiano wa haya mawili waweza kuwa mdogo au usiwepo.
 
Mtu mweusi ni noma sana!Usipojua tena ni kwa nini ni vyema na haki kwa mtu mweusi kubaguliwa basi utakuwa una matatizo makubwa sana ya akili.

Imagine watu wanakufa kwa wingi kwa Corona lakini still watu wanakusanyika kwa kusongamana bila kuvaa barakoa na bila ya kuchukua tahadhari zozote zile na hata hofu hawana.

View attachment 1705301

-Wananchi wakiwa wamekusanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja mjini Unguja kusubiri mwili wa Mwendazake Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Seif Sharif Hamad.

-Baada ya suala, mwili huo utasafirishwa kwenda kisiwani Pemba kwa ajili ya mazishi leo jioni katika eneo la Mtambwe.

kwan umati wa kampeni zenu mlikua mmevaa barakoa?
 
Kama watu WOTE wakivaa barakoa vizuri(bila kuacha mapua yao nje ya barakoa) majimaji yanayosababisha kuenea kwa Corona kutoka mdomoni na puani yatazuiwa kutoka kwa mtu mmoja kwenda mwingine
Barakoa inazuia vipi Corona?
Elimu kidogo
 
Back
Top Bottom