CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,357
- 6,422
Nimekuwa siipendi ya kuwachagua wahindi (watanzania wenye asili ya kAsia) kwenye nyadhifa za kisiasa na uongozi wa chi hii.
Hivi YANGA katika waafrica wenzenu hakuna mtu wa kuwaongoza mpaka mhindi- Hivyo hivyo Morogoro, na kwingine katika weusi wenzenu hakuna wa maana mpaka awe mhindi mbunge wenu!
Hakuna ubaguzi hapa, wewe unaweza kwenda India ukapata Ubunge, ukaongoza Golf? Hata kuonekana barabarani kwao wanafunzi wanauawa!
Nipigeni madongo, wacha niseme!