Umasikini ni jambo baya sana! huyu dogo kafa huku akijiona, tena bila msaada wowote

Hivi duniani tulikuja kufanya nini?

Kwanini tupo hapa?????
Tumekuja kufa...kwahyo kabla hujafa hakikisha umeishi 100%
Ngoja nikupe list ya vitu vya kufanya kabla hujafa
1.Skydive
2.Scuba dive
3.Join a cult
4.Join an acapella band
5.Nenda nchi ya ugenini ambayo haujui lugha Yao halafu upotee njia
6.Have sex with Indians,Arabs,Chinese...all races
7.Mtukane baunsa halafu ukimbie
8.nenda mbuga Za Wanyama
9.panda Milima mirefu
10.kojoa mchana sehemu iliyoandikwa hurusiwi kukojoa hapa
11.Lala Na mtu maarufu
12.Kula nyama ambayo hujawahi mf. Mamba,nyoka,konokono nk.
13.Nenda kuhijji Mecca au Israel
14.Nenda katambike Kwa mizimu ya babu zako
15.Gombea udiwani,uenyekiti,ubunge nk.
16.tembea Na boxa usiku
17.jifunze vifaa mbalimbali vya Muziki
18.Jifunze lugha 3 Za nchi Za mbali mf. Kichina kikorea kihindi nk.
19.Nenda hospital kwenye wodi ya kuzalisha halafu chukua watoto wachanga uanze kuwachanganya changanya ili wazazi wasiwajue watoto wao
20.Mtoroshe mtoto wa mfalme mf. Kim Jong Un,Putin,Hangaya
 
Hivi duniani tulikuja kufanya nini?

Kwanini tupo hapa?????
The world as we know it today haikuwa kama vile Mungu alivyokusudia iwe. Haya tuyaonayo yanakuja kama matokeo ya dhambi kuingia duniani.

The good news ni kuwa Mungu ameahidi kuumba upya na kurejesha dunia ktk hali iliyokuwa nayo awali kabla ya dhambi.

Tulikuja duniani ili tuwe na uhusiano na Mungu...tuwe watawala wa dunia hii, simply put, tumche Mungu.
 
Then baada ya hapo??what next?
Mkuu kama ambavyo mbegu ya chungwa ukiitupa pale chini ikipata sababu inazalisha mchungwa ungine mkuuuubwaaaaa sana maana yake maisha yanaendelea tu na mbegu hiyo itatoa mchungwa mmoja wenye machungwa yenye mbegu nyingi kweeeliii....

Mkuu imani yangu ni kwamba hapa duniani tunaishi lakini tukiahakufa kuna maisha mengine makubwa na ya ajabu sana yanatusubiri.

Kuna mwanazuoni mmoja alipata kusema kwamba "hakukuumbwa ili tumalizike,bali tumeumbwa ili tushi milele"
 
Suala la kufa kwa huyo dogo halihusiani na umasikini wake...ni kuwa muda wake tu wa kuondoka ulifika...hii haijalishi kuwa aliishi mazingira duni.

Unaweza kuwa tajiri..lakini siku yako ikifika utaondoka hata kwa maleria tu ambayo matibabu yake yapo.

Ndiyo maana wewe unaweza kuugua typhoid ukapewa madawa ukapona..mwenzako pia akaugua similar disease akapewa dawa na asipone.

Uhai uko mikononi mwa Mungu aliyeutoa....matibabu siyo guarantee ya kuendelea kuwa hai. Unaweza kutibiwa na ukaondoka.
 
Fact...
 
Mkuu kama ambavyo mbegu ya chungwa ukiitupa pale chini ikipata sababu inazalisha mchungwa ungine mkuuuubwaaaaa sana maana yake maisha yanaendelea tu na mbegu hiyo itatoa mchungwa mmoja wenye machungwa yenye mbegu nyingi kweeeliii....

Mkuu imani yangu ni kwamba hapa duniani tunaishi lakini tukiahakufa kuna maisha mengine makubwa na ya ajabu sana yanatusubiri.

Kuna mwanazuoni mmoja alipata kusema kwamba "hakukuumbwa ili tumalizike,bali tumeumbwa ili tushi milele"
Nilifiwa na mshkaji wangu wa karibu sana,aisee kile kifo kiruniharibu akili kabisa.

Kilifanya nione maisha hayana thamani kabisa.aisee kifo ni fumbo moja kubwa sana sana.
 
Hivi duniani tulikuja kufanya nini?

Kwanini tupo hapa?????
 
19.Nenda hospital kwenye wodi ya kuzalisha halafu chukua watoto wachanga uanze kuwachanganya changanya ili wazazi wasiwajue watoto wao
20.Mtoroshe mtoto wa mfalme mf. Kim Jong Un,Putin,Hangaya
Walah we Ni chizi....🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom