Umasikini Marekani: Escobares, mji uliyo na masikini wengi wanaoishi chini ya Dola moja

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,052
28,242
Huko Marekani ambapo ni vinara wa kusaidia nchi masikini kuna mji wenye umasikini wa kutupwa ambapo raia wake wanaishi kwa chini ya dola moja kwa siku.
DzlRl5sWsAEx8Yc.jpg

Haya ni Makazi ya watu wa Mji huo Masikini.

Kwa taarifa zaidi tuisome hii makala kutoka Twitter ya BBC Swahili ambapo, pengine kwa mara ya kwanza wameonesha picha halisi ya mataifa ya Magharibi.

MY TAKE:
Mh Rais Magufuli aliposema tunaweza kuwa Donor Country alimaanisha kwa kuwa tukiamua kubadili mentality yetu sisi ni zaidi ya matajiri.
 
Huko Marekani ambapo ni vinara wa kusaidia nchi masikini kuna mji wenye umasikini wa kutupwa ambapo raia wake wanaishi kwa chini ya dola moja kwa siku.
View attachment 1025433

Wazungu walituchezea kamchezo kakijinga tuu but mioyoni wanajua wasingetuweza
tapatalk_1540895145939.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunaweza kuwa donor county sawa sikatai, ila sasa donor county lazima wagawe msaada wa vitu kwa nchi nyingine,

Nauliza swali sisi tutaligawia nini ilo jimbo ndani ya Marekani?

Sisi tuna nini kinachotosheleza mpaka kuwagawia wengine? Sukari? Mafuta? Nguo? Unga? Mchele? Au nini labda,

Tatu naona kama umewatekenya CHADEMA kwa mbaali kwa akili kwamba uwenda walio udhuria mkutano wa Lissu wengi wanatoka upande huo?
 
Huko Marekani ambapo ni vinara wa kusaidia nchi masikini kuna mji wenye umasikini wa kutupwa ambapo raia wake wanaishi kwa chini ya dola moja kwa siku.
View attachment 1025433
Haya ni Makazi ya watu wa Mji huo Masikini.

Kwa taarifa zaidi tuisome hii makala kutoka Twitter ya BBC Swahili ambapo, pengine kwa mara ya kwanza wameonesha picha halisi ya mataifa ya Magharibi.

MY TAKE:
Mh Rais Magufuli aliposema tunaweza kuwa Donor Country alimaanisha kwa kuwa tukiamua kubadili mentality yetu sisi ni zaidi ya matajiri.
Lissu inatakiwa apewe nafasi hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jingalao nyie watu wa ajabu sana. Inawezekana kwenye vikao vyenu huwa mnadhani kuna nchi ambayo haina umaskini. Tatizo siyo umaskini bali umaskini unasababishwa na nini.

Umaskini wa Marekani hausababishwi na viongozi wao kufanya maamuzi ya kijinga ama ya hovyo bali unatokana na mfumo wa kibepari na mafanikio ya nchi hiyo. Kama wewe huna taaluma yoyote na ukatamani kuishi Marekani na ukazamia, bila ya shaka utaishia kwenye maisha kama hayo.

Kwenye Ubepari mapambano yako ya kimaisha ndiyo huamua hatima ya maisha yako. Na kipimo cha umaskini wa nchi hupimwa kwa asilimia ya watu wote. Sasa kama una nchi zaidi ya 50% ya watu wake wanaishi chini ya dola moja kwa siku utalinganisha na nchi ambayo watu wake ni chini ya 0.5% wanaoishi chini ya dola 2 kwa siku?
 
Huwezi kumuona mmarekani akiinanga marekani kwa vyovyote vile

..siyo kweli.

..kuna Wamarekani walipinga vita na Iraq.

..kuna wanasheria wa Kimarekani wanawatetea mahabusu walioko rumande la Guantanamo.

..Vyombo vya usalama vya Marekani vinamchunguza Raisi Trump pamoja na wasaidizi wake ktk timu yake ya kampeni.

..Lakini hata siku moja hutasikia wakiitana wasaliti au wahaini au kutwangana risasi.
 
Back
Top Bottom