Umapendekeza jina gani kwa nchi yako

PISTO LERO

JF-Expert Member
Mar 8, 2011
2,819
1,454
  1. tanzania bara
  2. tanganyika

kwa visiwani

  1. zanzibari
  2. zanzibar visiwani
  3. tanzania zanzibar
  4. tanzania zanzibar visiwani
 
try something better than this , it is not a thread at all....
 
Jina ni Tanganyika pekee.
Majina mengine yaliyobaki ni usanii mtupu.
I like my Tanganyika.

Wazanzibar watajua wenyewe wanapenda jina gani.
 
Napendekezwa iitwe DANGANYIKA, jina hili litaendana na uhalisia wa mambo yetu.
 
iteni NYERERE LAND cancel TANGANYIKA maana hamlipendi ,tanzania bara hakuna nchi hiyo duniani wala haikupata kuwepo.......misukule ya nyerere zidumu fikira za mwenyekiti ''akili za kushikiwa'' ccm oyeee muungano byebyee. nyerere road,uwanja ndege wa mwl nyerere. kila mji kuna nyerere road.chuo cha mwl nyerere.nyerere foundation. JAMUHURI YA MISUKULE YA NYERERE.

Here ZANZIBAR and will be ZANZIBAR
zidumu fikira sahihi tu za karume
"muungano kama koti likikubana unalivua"
ZANZIBAR KWANZA cuf,ccm badaeeeee
 
the only thing napenda kuhusu muungano ni jina TANZANIA. So usivunjwe plz!!
Tanganyika doesnt Rhyme! kwanza hata Nyerere alishawahi kusema hajui limetoka wapi.
Plus zile nyimbo za kuisifia nchi yetu ndo itakuwa baaasi tena.
Bora tuitwe Bongo basi. Au Kilimanjaro!
NB
Jina TZ tungebaki nalo sisi kwani for years now tumekuwa tukiwafunika Zenji kwenye Muungano kiasi kwamba, wengi wajua tz ni tz bara tu
 
mi nlishasema zamani, hata ukivunjwa ile tarehe 26.04 iendelee kuwepo kama holiday jamaniiiiiiii
 
iteni NYERERE LAND cancel TANGANYIKA maana hamlipendi ,tanzania bara hakuna nchi hiyo duniani wala haikupata kuwepo.......misukule ya nyerere zidumu fikira za mwenyekiti ''akili za kushikiwa'' ccm oyeee muungano byebyee. nyerere road,uwanja ndege wa mwl nyerere. kila mji kuna nyerere road.chuo cha mwl nyerere.nyerere foundation. JAMUHURI YA MISUKULE YA NYERERE.

Here ZANZIBAR and will be ZANZIBAR

zidumu fikira sahihi tu za karume
"muungano kama koti likikubana unalivua"
ZANZIBAR KWANZA cuf,ccm badaeeeee

Kati ya wazanzibari na watanganyika nani wanapaswa kuitwa misukule ye Nyerere? Nyerere Road zipo hadi Ghana, huwezi kuyajua haya kwa sababu unawaza kucheza bao, kula tende,halua , kupiga ramli na majini. Mshukuru Nyerere, bila yeye leo hii ungekuwa mtumwa wa mwarabu. NYAMBAFF!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom