Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
*Umahili!
Karibia anakwenda Dodoma kwenye Mkutano Mkuu wa CCM, lkn nina uhakika pia atautumia muda huo kufanya mambo mengine ya kikazi huko Dodoma au hata njiani atakapopita, yaani hawezi tu kuondoka na kwenda Dodoma kuhudhuiria Mkutano wa CCM na kurudi hata siku moja ni lazima atauutumia huwo muda vizuri kufanya mambo mengine kwa ajili ya nchi!