Elections 2010 Umafia wa CCM sasa ni dhahiri zaidi

Too much complain
Kama CCM wanatumia gazeti la serikali kutema propaganda zao je sisi wananchi tukae na kuwapigia vigelegele?
kama wanatoa rushwa tuwaache tu na kuwaona wanafanya ujinga?
Mjinga ni yule anayenyamaza kimya anapofanyiwa mambo ya kijinga kwa makusudi

 
Back
Top Bottom