Mwanahabari wa Taifa
JF-Expert Member
- May 27, 2020
- 1,450
- 799
[|Kazi anazofanya Rais Samia zinaacha alama kwa kikazi hiki na kizazi kijacho,
Hongera sana Mama Samia wetu, ]|
Hongera sana Mama Samia wetu, ]|
UMACHINGA SIO KIPAJI, SIO SIFA, SIO CHEO, SIO KIPAWA | UMACHINGA NI HATUA YA KUFIKIA NDOTO YA KUWA MFANYABIASHARA MKUBWA NDANI|NJE YA TANZANIA
__________________________________________
Niserikali ya kichawi tu ndio inaweza kujisikia fahari mtu kujiita Machinga miaka nenda rudi uje na nimchawi pekee ndio anaweza kujisifia yeye ni mmachinga mzoefu,Umachinga sio sifa wala kipaji ni hatua|daraja la kupita kwenda hatua ya juu zaidi katika kumiliki na kuendesha biashara kubwa,Kila anayetamani machinga aendelee kuwa machinga huyo ni muuwaji wa ndoto za watu hao nani mtu hatari sana kwa Ustawi wa Taifa na Watu wake hasa hao machinga,Akitokea mtu anayetafuta nafuu kwenye Siasa akakwambia wewe Machinga endelea kuwa machinga nitakulinda huyo ni hatari kuliko mchawi na hafai kuwa kiongozi kama anashindwa kukuongoza kwenda kuwa mfanyabiashara mkubwa na anafurahia namna jua linavyoishia mwilini mwako siku kwa siku ili tu siku moja umpigie kura huyo hakufai wewe wala Mungu,
Tanzania inajumla ya Wamachinga 2,335,711 wenye vitambulisho huku wafanyabiashara wakifikia 3.8M,Hii ni sawa nakusema idadi ya wamachinga Tanzania ni 62% ya walipa kodi wote wa nchi hii,Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza wamachinga wapangwe vizuri maana yake watolewe Juani wapeleke kwenye maeneo ambayo watatambulika ( Permanent premises) ili kutimiza ndoto yao ya kuwa wafanyabiashara wakubwa,hapa lazima tumpongeze sana Rais wetu Mhe Samia Suluhu Hassan ,Moja ya Sharti kubwa la kupata mkopo toka benki yoyote ya Biashara ni kuwa na eneo sahihi na kufanyia biashara ( business premise ).Nahapa natamani wamachinga mnielewe vizuri nimesema umachinga sio kipaji ni hatua ya ukuaji katika biashara hivyo ni lazima ifike siku Muhitimu huo Umachinga ila kamwe hamuwezi kuuhitimu Umachinga mkiwa Chini pembeni ya Barabara,
Wamachinga wa nchi hii wamefanyiwa sana siasa na imefika wakati wamejiona kama wao ndio wenye turufu ya Siasa na Wanasiasa wa Tanzania badala ya kuwaza zaidi kesho yao katika biashara zao,Leo Machinga akihamishwa kupelekwa mahali patakapoamua kesho yake iliyonjema anahisi kaonewa kwakuwa tu uchaguzi umekwisha,Tunataka viongozi kama Rais Samia wasiojali kesho yao kisiasa ila Kesho ya wamachinga na watoto wao na watoto wa watoto wao,Kama Rais Samia atafanikiwa kuwahitimisha Umachinga hao watu 2.34M maana yake by 2024|25 Tanzania itakuwa na walipakodi zaidi ya 6M na itakuwa rekodi nyingine kwake kwani tangu Uhuru walipakodi wamefikia 3.8M kwenye nchi ya watu 60M,kwa akili za kawaida Watu wanaweza wakadhani machinga wanaonewa kumbe wanasaidiwa kufikia ndoto zao kirahisi, Mwenye masikio naasikie haya,
.........Kazi iendelee .........
VIVA TANZANIA | VIVA SAMIA | VIVA CCM
View attachment 1937108
Mitego ya Rais Samia ya Royal Tour yanasa TZS 158.4bl | Hoteli nne kubwa za kitali hadhi ya Kempinski kujengwa Serengeti, Ngorongoro,Manyara & Tarangire,Mjinga wewe kabisa,
,Machadema ndio yamekuwa yakiwalaghai wamachinga kila mwaka, wa uchaguzi,
Hata wao wamachinga wanaondolewa leo ni Machadema yaliwaruhusu wakae vichochoroni ili wapigiwe tu kura,
Chadema mmewachezea sana machinga wa nchi, Shame on you,
Nampongeza sana Mama Samia kwa juhudi yake ya kuwasaidia wamachinga ili walau wapate mkopo na waaminike na watambulike,
Kaandika uchafu wa kichwaHaha haha hii nchi inawatu aise!
Sasa pesa ya ndege na wamachinga wapi na wapi Mjomba? Au sijaelewa,
Machinga ndio mwekezaji wa kesho, Ndio CEOs waajao, ndio mabilioners wajao,
Kosa kubwa lililofanyika ambalo Rais Samia anaenda kulifuta ni kuwaacha Machinga kuwa adresslessly ,
Bank haiwezi kukupa mkopo wa 2M huku unazurula Mtaani au umekaa pembeni ya barabara, Hii haikubalika kabisa,
Bank wanataka uwe na eneo lako official,
Kitendo cha kuwaacha machinga wakizurula mtaani sio Sifa au tendo la huruma kwao ni kuua ndoto zao za wao kuwa wafanyabiashara wakubwa kesho,
Asante Rais Samia kuwatoa ndg zako wamachinga juani
___________________________________
Nikweli wasaidiwe in a proper wayMachinga ni madalali wa kuuza bidhaa za viwanda vya China huwezi kuza uchumi kwa kuwa mchuuzi.Uchumi unakuzwa kwenye uzalishaji tokana na raslimali tele zilizojaa nchini ambazo hazitumiki sababu ya mipango mibovu ya wanasiasa.
😍😍😍Jibu Mswali haya kwa Ukamilifu,
1.Rais Mnyenyekevu Africa -SAMIA
2.Rais mpole Africa -SAMIA. √
3. Rais mchamungu Africa -SAMIA √
4. Rais rafiki wa wananchi wake Africa -SAMIA √
5. Rais Chaguo la Watanzani 2025-2030 -SAMIA √
😍😍😍Machinga sio sifa ni daraja tu
😍😍😍Ngoja tuone...
😍😍😍Ila madam make up imekolea...
Mkuu Analyst,chambua kidogo.Shame on you.
Kama kila kitu kikienda kama kinavyotakiwa kuwa umachinga ni hatua ya chini kabisa kuelekea ujasiriamali. Nimesema kila kitu kikienda kama kinavyopaswa kwenda na sio kinyume chake.
Mazingira yanayomzunguka mtu ndio yanayomuinua na kumuangusha chini. Miundo mbinu kama ni rafiki atainuka tu kibiashara.
Elimu ya juu ya uhakika kama ni rafiki atainuka tu na yatakuwa ni yale yale ya Mark Zuckerberg wa Whatsapp aliyeanzia biashara zake ndani ya gereji ya Baba yake akainuka kuwa bilionea.