Umaarufu!

nilikuwa naruka sana sarakasi tangu primary,,had secondary. nilienda dar kwa mara ya kwanza kan ajili ya sarakasi .kwenda kufanya maonyesho..mtaani nkirudi natamba nimetoka bongo
 
Nilifanikiwa kumwekea mwalim kioo chini katikati ya mguu na mguu tukaona kila kutu ila kuanzia ule mstari wanaume wote tuliokuwepo tulikula stick zaidi ya 40 kila mmoja maana walim wa kiume walikuwa 18 na kila mwalim alichapa zaidi ya viboko 6
Bangi ulianza kitambo sana mkuu
 
Back
Top Bottom