Wangapi umeona wamesema walikuwa wanaongoza?
Punguza negativity mkuu.
TotozNi kitu gani kilikupa umaarufu shuleni?
mimi ni good handwriting!
mpe vyakeWangapi umeona wamesema walikuwa wanaongoza?
Punguza negativity mkuu.
Uko wapi kwa sasa kwa tabia zako hizo unaweza kutufaa kaziniNilikuwa bize na harakati zangu sipendi mazoea yakifala.
Wenzangu wakiwa mstarini Mimi Niko jikoni.. wakiwa wanasali Mimi Niko kwenye bustani ya shule.....
muda wa prepo mi ndio naoga .......
wakilala Mimi ndio nazurura kila chumba na kupiga chabo hosteli za mademu...
Daily Mimi ni mtu wa adhabu za mashambani manake class siiuwahi paelewa. Adhabu yenyewe kulima dakika 20 nimeshamaliza nakuwa na ticket ya kutoenda class.....
Nilikuwa na dili na mpishi wa skuli kwenye biashara ya mazao ya shule na bangi (kwa wateja wangu) niliwahi kamatwa ila niliitoka kesi kibabilon....
Nilikuwa sioni umuhimu wa ratiba manake Kama Ni class nilikuwa vizuri. Na nimemaliza na Division One Tena nzuri tuuu..
tukipewa kazi ya shamba ndio dakika mbili nimeshamaliza nawadere watoto wa mama.......
Cjawahi kuwa msafi kupindukia ule usarobaro wa O-level hata siku moja kwanza mashati nilikuwa naiba daily ya watoto wa mama, nikikuta nguo imefuliwa ikakauka ndio naitupia mwilini ikichafuka narudisha nilipotoa.....
Nilikuwa nakula sio utani aisee Yani mademu wakienda kumwaga msosi si unajua Toto za kishua Mimi natia nanga msosi. Kama wote kwangu.....
Ila nilikuwa mkimya watu wananijua ila Sasa kuanza kunisemesha ndio msala kwaiyo sikuwa na marafiki wa shule na hata Sasa (wale sijui best friend wa kufatana kila mahali)
Nilianza kupunguza udismainda baada ya kwenda advance...ila swala la kufata ratiba za watu zisizo muhimu siwezi hata siku moja
Sent using Jamii Forums mobile app
1978 headteacher alichezea nakoz
Kazi gani Hiyo mkuu niwasili chapUko wapi kwa sasa kwa tabia zako hizo unaweza kutufaa kazini
hahaahahnakumbuka darasa la pili nilimchezesha vitasa headmaster
Sent using Jamii Forums mobile app