Umaarufu wa Zitto wapungua.

Sumbalawinyo

JF-Expert Member
Sep 22, 2009
1,282
247
Tukiwa tunajongea karibu na uchaguzi mkuu wa wabunge, madiwani na rais,
umaarufu wa mwanasiasa kijana wa kambi ya upinzani kutoka CHADEMA umepungua mno.
Amekuwa kimya sana, hatoi tena zile hoja zake za nguvu na hasikiki kabisa.
Sijui ndio tayari ameshajiunga na kambi ya Lowasa na Rostam Aziz na kuwaacha wananchi wake wa Kigoma?
 
Hivi unataka awe anaongea kila wakati???
Hivi mtu akikaa kimya ndiyo amejiunga na kambi nyingine??? mimi siyo mwanachama wala mpenzi wa chadema lakini nakuhakikishia huyu kijana hadhi yake iko palepale na ukitaka uthibitishe nenda jimboni kwake maana hata chama changu kitakua na kaaaz kweli kweli kumshinda huyu kijana.
Naomba msianze kumzongazonga ili aseme na mwisho aongee utumbu kama waheshimiwa wengine wafanyavyo.
 
wewe sumbalawinyo unapimaje umaarufu wa mtu? kwa kuongea? kwa public preception? any statistical method to prove your point?

je na kwa kutumia the same kipimo umaarufu wako umeongezeka au umepungua?

let the boy live his life
 
Zito Kabwe,
mwanasiasa kijana, mahiri kuzungumza, mpambanaji.
kuporomoka kwake kunatokana na papara, mbwembwe na kupenda ubinafsi..
sasa iposababu nyingine ya kupungua kwake umaarufu ktk siasa za nyumbani , ni tabia yake ya kuyumba kimaamuzi na kimaadili.
na kule kuhusishwa kwake na kina RA kumemshushia hadhi na heshima yake miongoni mwa watu waliomuamini.....
 
Ilikuwaga njaa sasa ameshiba....kwa sasa yeye sio debe tupu hawezi kupiga kelele.
 
Zito Kabwe,
mwanasiasa kijana, mahiri kuzungumza, mpambanaji.
kuporomoka kwake kunatokana na papara, mbwembwe na kupenda ubinafsi..
sasa iposababu nyingine ya kupungua kwake umaarufu ktk siasa za nyumbani , ni tabia yake ya kuyumba kimaamuzi na kimaadili.
na kule kuhusishwa kwake na kina RA kumemshushia hadhi na heshima yake miongoni mwa watu waliomuamini.....

and then, great thinker ...what is your conclusion??

who cares!
 
and then, great thinker ...what is your conclusion??

who cares!
aaah Waberoya who cares if u dont care ?
ILA LIPO JAMBO MOJA LA KUJIFUNZA KWA WANASIASA vIJANA , MTAKA VINGI KWA PUPA MWISHO WAKE SI MZURI.....hARAKA HARAKA HAINA BARAKA.
kila kitu anataka yeye, cha mlengo wa shoto anakula, mlengo wa kati anatamani , cha mlengo wa kulia anakikimbilia.
cha RA kimemuondolea staha, ukali wake unaonekana ni matokeo ya njaa na tamaa, kapata tayari kimya.
alisema Mzee Pengo ( Askofu ) kuwa tunapopiga kelele juu ya ufisadi lazima tujiulize kweli tunania ya kukemea ama tunaiga kelele kwasababu nasi tumekosa nafasi yakua mafisadi.
Lipo la kujifunza.
 
Zito Kabwe,
mwanasiasa kijana, mahiri kuzungumza, mpambanaji.
kuporomoka kwake kunatokana na papara, mbwembwe na kupenda ubinafsi..
sasa iposababu nyingine ya kupungua kwake umaarufu ktk siasa za nyumbani , ni tabia yake ya kuyumba kimaamuzi na kimaadili.
na kule kuhusishwa kwake na kina RA kumemshushia hadhi na heshima yake miongoni mwa watu waliomuamini.....

Aliahidiwa "mzigo' mnono kutoka kwa RA ili achukuwe fomu na kumng'oa Mbowe kutoka uenyekiti wa Chadema. Hebu fikirieni tu, eti Zitto sasa angekuwa kiongozi mkuu wa Chadema! Mafisadi wangekuwa magego nje kwa kuchekelea! Mungu mkubwa kaepusha!

Hli ligundulika mapema na mashushushu wa Chadema wakampiga stop! Kama vile CCM wanavyopiga STOP kwa watu wasiyowataka.

Swali: Kwa nini asitokomee mbali, aende hata CCM au akafilie kule walikofilia akinia Kafulile? Chadema sasa hivi haina haja naye, ingawa yeye anaona kuwa yuko tayari kutumiwa na akina RA aendelee kuwatikisa akina Mbowe.
 
Tukiwa tunajongea karibu na uchaguzi mkuu wa wabunge, madiwani na rais,
umaarufu wa mwanasiasa kijana wa kambi ya upinzani kutoka CHADEMA umepungua mno.
Amekuwa kimya sana, hatoi tena zile hoja zake za nguvu na hasikiki kabisa.
Sijui ndio tayari ameshajiunga na kambi ya Lowasa na Rostam Aziz na kuwaacha wananchi wake wa Kigoma?
.
Afadhali kama amejiunga hilo kambi la akina EL na RA kulikoni angejiunga kwenye kambi la wachovu la akina mwakyembe wanaopigania matumbo yao
 
Zitto wa sasa sio yule tuliyemshobokea na aendelee kukaa zake kimya, asituchefue...
 
Back
Top Bottom