Umaarufu wa Wema Sepetu umeporomoka zaidi tangu alipohamia CCM akitokea CHADEMA

Angepata manangement nzuri, angeandaa fund rising dinners pia kuomba msaada kwenye makampuni makubwa, hata chama chake na kuwa na kipindi kwenye TV kuonyesha kazi zake na kuhoji wahitaji na walionufaika na msaada wake.
Hiyo hata wewe unaweza. Idea yako hawezi kuifanyia kazi yeye. Fanya wewe utaifanya vizuri zaidi
 
Wema hawezi kuwa na mwisho mzuri. Siku zote atakuwa wa kutangatanga katika mahusiano na siasa. Time will tell.
 
Leteni mada za maana, Wema umaarufu alijitafutia mwenyewe kabla ya kuingia Chadema na CCM. Acha kupotosha, mwacheni ni maamuzi yake na bado maarufu.
 
Habari wanaJF

Pamoja na kwamba Wema hana umaarufu wowote lakini kipindi alipohamia CHADEMA umaarufu wake uliongezeka Mara dufu. Hali hii ilitokana na Wafuasi wa chama hicho kuwa bega kwa bega na yeye hasa katika kazi zake za uigizaji ambapo alikuwa akipositiwa na katika kurasa mbalimbali za wafuasi hao mitandaoni.

Pia alikuwa akipewa fursa mbalimbali katika chama. Cha kushangaza tangu aliporubuniwa na CCM na hatimaye kutangaza kurudi huko amepotea kama upepo. Hasikiki hata kidogo chama tayari kimeshamtupa Mara tu alipomaliza kutangaza kuwa amerudi CCM alionekana Mara moja tu akiwa na Makonda, sijui ndo alikuwa amemkubalia maana mama Wema aliwahi kusikika akisema kuwa Makonda alikuwa akimtaka Wema ingawa Wema alimkatalia.

Wema bila shaka utaielewa rangi halisi ya CCM, utakachoambulia hapo ni kufutiwa kesi tu hakuna kingine tena!

Hapa kasi tu
Hivi sasa yuko LIVE channel 5 kwenye NIRVANA
Unazungumzia umaarufu gan zaid
Anyway, labda niulize,
Alipokuwa na umaarufu wake kwa 100% aliisaidia nini chadema
Wale wafuasi milion mbili kule insta veeepe
 
Watu wa Chadema bwana. Hivi huwa mnakunywa nini? Mnaangaika na Wema kama vile ni Mbowe kaama. Mwacheni kwani alipokuwa CCM awali umaarufu wake uliwategemea ninyi? Hao followers 2M mlikuwa nyie? Mbona bado ana followers bado anao wengi tena 3.2M? Mnaangaiiika.
d6e6191c6fcf365ad50fff48ffab4455.jpg
 
Habari wanaJF

Pamoja na kwamba Wema hana umaarufu wowote lakini kipindi alipohamia CHADEMA umaarufu wake uliongezeka Mara dufu. Hali hii ilitokana na Wafuasi wa chama hicho kuwa bega kwa bega na yeye hasa katika kazi zake za uigizaji ambapo alikuwa akipositiwa na katika kurasa mbalimbali za wafuasi hao mitandaoni.

Pia alikuwa akipewa fursa mbalimbali katika chama. Cha kushangaza tangu aliporubuniwa na CCM na hatimaye kutangaza kurudi huko amepotea kama upepo. Hasikiki hata kidogo chama tayari kimeshamtupa Mara tu alipomaliza kutangaza kuwa amerudi CCM alionekana Mara moja tu akiwa na Makonda, sijui ndo alikuwa amemkubalia maana mama Wema aliwahi kusikika akisema kuwa Makonda alikuwa akimtaka Wema ingawa Wema alimkatalia.

Wema bila shaka utaielewa rangi halisi ya CCM, utakachoambulia hapo ni kufutiwa kesi tu hakuna kingine tena!

Hapa kasi tu
Msanii yeyote akishajiingiza kwenye siasa kwisha habari yake maana unawagawa washabiki wako.
 
Watu mna husda sana. Ndio maana chama hicho hakifanikiwi. Kumejaa wenye roho mbaya, chuki na ubinafsi.
 
Back
Top Bottom