Umaarufu wa wabunge wa CHADEMA wapaa maradufu mitaani

Inampa sifa kubwa kwa wahuni/wazee wa bangi. kwa watu wenye akili zao wanamuona kama ni mpumbavu. Lakini ulitegemea nini kutoka kwa wabunge mchwara?
mtatapatapa saana tu! hakuna mtu atakayeweza kuuzuia upepo huu wa mabadiliko! generation ya wazee wezi, wachumia matumbo , wavivu inaelekea ukingoni! hata wakiwatuma watumwa wangapi kama nyinyi haitasaidia kitu!

mabadiliko gani hayo? hii ni siasa ya bongo kijana, ukikua utajua

mabadiliko gani hayo? hii ni siasa ya bongo kijana, ukikua utajua
ukiwa na mawazo mgando hautaona kitu..au unaweza kuona lakini ukakataa tu kama wazee wenzako wenye kutoa udenda bungeni!
Nyakati zimebadilika ! ccm wanajua ,,serikali inajua na yule choko wa magogoni anajua pia!

Inampa sifa kubwa kwa wahuni/wazee wa bangi. kwa watu wenye akili zao wanamuona kama ni mpumbavu. Lakini ulitegemea nini kutoka kwa wabunge mchwara?
unaweza kuniambia wapi hotuba ya lema inaeneza uchochezi ...tafadhali nioenyesha kipengele hata kimoja kwenye ile hotuba ambacho hakiendani na maisha yetu ya kila siku.!
na mwanasheria mkuu wa serikali anapokiri kuwa serikali ililegalega na ilikuwa dhaifu kwenye mambo fulani aliyoyasema lema kwenye hotuba yake ina maana gani?? toa hoja zako!

Kweli kabisa umaarufu unazidi kupaa kwa uhuni wao! Kuna nini cha maana wamefanya! Bunge makini lilikuwa la kina Dr Slaa, wanapambana kwa hoja ili la wavuta bange sio bunge

jinsi mama anna kilango na beatrce shelukindo walivyochana bajeti ya ngeleja angekuwa ni mpinzani usingekosa la kuwasema ila kwa kuwa ni magamba kimyaaa..tatizo mlizani mtatawala milele subrini kichapo 2015 na vijana tunaongezeka wenye mapenzi na cdm.unazani hizi ni zile zama za wabunge watano au kumi wa upinzani...tunakuja kama moto wa makaa ya mawe.

Wako baadhi ya watu itabidi wapimwe akili. Yaani kwa fujo za wabunge wa chadema ndio wanapata umaarufu? umaarufu upi unaozungumzwa hapa? yaani umaarufu wa fujo na utoto? Wabunge wengi wa Chadema wamejaa uhuni, baadhi yao walikuwa majambazi, tunawafahamu wana ubinafasi na mambo kadhaa negative. Eti hao ndio wanaleta umaarufu kwa Chadema? This country is finished.....

He huyo wa hapo juu kabisa nae analalaga?
Duuu sasa hapo umesahau yule mpiga voko wa tanzania one theater
hahaha sijui anakuwaga anatunga mashairi usiku kucha ??????

Wako baadhi ya watu itabidi wapimwe akili. Yaani kwa fujo za wabunge wa chadema ndio wanapata umaarufu? umaarufu upi unaozungumzwa hapa? yaani umaarufu wa fujo na utoto? Wabunge wengi wa Chadema wamejaa uhuni, baadhi yao walikuwa majambazi, tunawafahamu wana ubinafasi na mambo kadhaa negative. Eti hao ndio wanaleta umaarufu kwa Chadema? This country is finished.....

kalee wajukuu mzee unakumbuka shuka wakati pameshapambazuka.uzuri alyekuloga kashakufa so maneno yako hayana mathara ni sawa na mbu nje ya chandarua.viva chadema 4life

Uhuni kama wa huyu mzee

Kweli kabisa umaarufu unazidi kupaa kwa uhuni wao! Kuna nini cha maana wamefanya! Bunge makini lilikuwa la kina Dr Slaa, wanapambana kwa hoja ili la wavuta bange sio bunge

du! Kumbe ishu ni umaarufu 2 ndio unaotafutwa?. Haya lema kaza buti umpite zito kwa umaarufu, Lisu umana na mbowe mpaka umpite, mchungaji wa iringa angalia mdee atakupita huyo. Jengeni majina vijana mkipite chama chenu kwa umaarufu..

Stori za jana kutwa nzima sehemu mbalimbali Tanzania zilihusu Wenje, Tundu Lisu, Mch Msigwa na Kamanda Lema....

Kila kona, kila kijiwe walitajwa wana CDM na wabunge wao...

Sehemu kubwa ya wazungumzaji waliipongeza CDM. Mzee mmoja pale Magu - Mwanza alisema hivi '' Heri mbunge wangu atolewe bungeni kwa kutetea nchi yake kuliko mbuge wako anayelala bungeni kama Wassira au anayesinzia na kutoa udenda bungeni kama Mrema huku akisubiri kikao kiishe apokee posho ya 70,000''...
Kumbe hii move itawaweka pazuri sana hawa makamanda katika mchakato wa 2015, wananchi watawapa sympathy votes...

Sikutegemea mtu anaeitwa Great thinker ndani ya JF kuandika thread km hii. Hivi kumbe CDM wameenda bungeni kutafuta umaarufu ? kama lengo ni hilo basi watafanikiwa sana na ndio maana maandamano hayaishi kwa kutimiza lengo hilo ? napale mnapoambiwa kuwa nyie nia yenu ni kutafuta umaarufu msikatae kuanzia leo

Kweli kabisa umaarufu unazidi kupaa kwa uhuni wao! Kuna nini cha maana wamefanya! Bunge makini lilikuwa la kina Dr Slaa, wanapambana kwa hoja ili la wavuta bange sio bunge

acha kutumia jina la Slaa kuficha ujinga wako.

Ukweli ni kwamba mtu ambaye ana matatizo na hotuba hii basi huenda hajaisoma kabisa, au hajui jinsi nchi hii kuwa imepoteza mwelekeo kutokana na kukosa uongozi makini au anasumbuliwa na hiden interest ya watawala.

kwa kuwatoa hawa majaa nje Bunge ukweli ni kuwa wameongezewa umaarufu sana. kama mtu ni muungwana atauliza sababu za kutolewa na atapima mwenyewe hata kama ni magamba!!!!!!!!!

Sikutegemea mtu anaeitwa Great thinker ndani ya JF kuandika thread km hii. Hivi kumbe CDM wameenda bungeni kutafuta umaarufu ? kama lengo ni hilo basi watafanikiwa sana na ndio maana maandamano hayaishi kwa kutimiza lengo hilo ? napale mnapoambiwa kuwa nyie nia yenu ni kutafuta umaarufu msikatae kuanzia leo
kuna mtu anapenda misifa kama ccm? kama hampendi misifa kwa nini filikunjombe akipeleka kidomo chake hadi akataka kupigwa?alikuwa anataka sifa yule.. anajua labda atapandishwa cheo

Napenda sana CCM na chama chao wafe taratibu sana huwezi kuwa na akili nzuri sana na kuipenda CCM na matatizo haya lazima uwe umeanzimisha akili yako ndio unaweza kuipenda maana ni hatari sana kuwa na wabunge wanafiki kama wa chama cha mapinduzi

Umenigusa sana mkuu yani ngoja nifafanue "MTU YEYOTE HASA KIJANA ALIYE SMART KATIKA UBONGO WAKE WA MBELE WA KUFIKIRI HAWEZI KAMWE TENA KAMWE KUTETEA HAYA MA-CCM(CHAMA CHA MAGAMBA)" haiingii akilini kabisa.Lazima tuwe na wasiwasi na huyo mtu kabisaaaa......

"PEOPLEzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz zzzzzzzzzzzzzzzzzz zzzzzzzzzzzzzzzzzzz ..................POWER"

Siku zote wakweli hukimbizwa,ila jamii ya wanyonge huwahifadhi. Daima waongo,wanafiki wamwaga misifa kwa watawala husogezwa kwenye makwapa ya macwana yao zao

Ubora wa wabunge wa chadema hauna mfano!
Wanaupeo mkubwa sana, woote kila anae simama ni moto.
Sio kama makamasi ya wanamagamba!

Back
Top Bottom