Umaarufu wa Israel ni chanzo chake nini?

Watu wasiokuwa na kwao na kung'ang'ania ardhi ya watu,hawafai hata kuwa wakimbizi,maana wakimbizi wana makwao.
 
Ujinga mtupu kwa maana hiyo unaunga mkono ufedhuli uliofanywa na ma-NAZI??Kajipange upya kujibu hoja hapa unabwabwaja tu!!!

Bahati yako nipo kwenye mfungo la sivyo ningejibu mapigo kwa kunitusi.

Wewe huoni nilichosema hapo??, nimesema; mimi siungi mkono ufedhuli wowote anaofanyiwa binadamu yeyote kutoka kwa binadamu mwingine, lakini tusipuuze vyanzo vya huo ufedhuli (causative agents).kwa sababu kama hivyo vyanzo visingalikuwepo huo ufedhuli usingalitokea.

Mfano; kuna bwana mmoja zamani sana alichinja mwanaye na akampika akala nyama yake, alipoulizwa na inasemekana ni kipindi ilipotokea njaa kubwa sana, sasa hapo unaweza kujifunza kwamba kula nyama ya mtoto wako ni haramu bali kuua ni ukatili mkubwa lakini njaa ndiyo iliyomsukuma huyo ndugu awe katili kiasi hicho.

Kwahiyo "in the first place", lazima tuangalie na kudhibiti vyanzo vya ufedhuli ama sivyo utatibu majeraha kila siku, wewe hujasikia kinga ni bora kuliko tiba ?!!🤔

Unajua historia ya Mauaji ya kimbari ya huko Rwanda??, angalia historia hiyo tangu enzi za ukoloni wa Wabelgiji nchini humo.
 
Mtu hupata umaarufu kutokana na mambo mawili; ama Wema au ufedhulj na Israeli (waisraeli) wanajulikana kwa ufedhuli wao.
Kanaitwa 'ka-spy nation' kaka. Kaache tu hako kataifa kanakolingana na mji kasoro bahari. Kenyewe kanajiita "small but tough". Kuna kiongozi wa ajemi(Iran)alikafananisha na kansa ya ubongo.
 
Nimekuwa nikiuliza siku nyingi sana.Israel ni taifa dogo sawa na mkoa wa Morogoro.
Lakini umaarufu wake hata Marekani wako kama wanawalinda.
Vitabu vya dini viliwaita ni taifa teule la mungu.Ukisoma biblia hata majeshi ya wayahudi walikuwa wakishinda vita kila wakipigana.
Nini sababu kubwa mataifa makubwa Marekani,Urusi,Ujerumani kuwatukuza na kuwaogopa hawa watu.
Sina chuki nao mi sio semitic ila nataka kujua siri iliyofichika juu yao duniani.

c.c Mbwanaallyamtu
Maarufu kwa sababu kuna mashoga wengi kuliko popote pale duniani
 
Kanaitwa 'ka-spy nation' kaka. Kaache tu hako kataifa kanakolingana na mji kasoro bahari. Kenyewe kanajiita "small but tough". Kuna kiongozi wa ajemi(Iran)alikafananisha na kansa ya ubongo.

Ninajua sana kwa jina jingine kanaitwa "nyegere"😁, si unamjua huyo mnyama??!.

Lakini hata hivyo "nyegere" huwa anauliwa na wanyama kama chui.
 
Hawana umaarufu wowote hao wabaguzi na wauaji na Mataifa mengi ya magharibi yanaikoromea kwa maovu yao with exceptiona of USA.

Nimekuwa nikiuliza siku nyingi sana.Israel ni taifa dogo sawa na mkoa wa Morogoro.
Lakini umaarufu wake hata Marekani wako kama wanawalinda.
Vitabu vya dini viliwaita ni taifa teule la mungu.Ukisoma biblia hata majeshi ya wayahudi walikuwa wakishinda vita kila wakipigana.
Nini sababu kubwa mataifa makubwa Marekani,Urusi,Ujerumani kuwatukuza na kuwaogopa hawa watu.
Sina chuki nao mi sio semitic ila nataka kujua siri iliyofichika juu yao duniani.

c.c Mbwanaallyamtu
 
Mwenyezi mungu mitume wooote kutoa mmoja tu walizaliwa Israel ivo uzao wao lazma uwe na hakili sana maaana huo uzao ni wa mitume waliopita ila so wote wenye hakili ya kufanya mambo makubwa ivo lazima mataifa mengine Kama malekan iwatumie kubuni mambo yaliyo fichikana unakumbuka wakina musa Ibrahim nawengne wengi walivo kua na uwezo ivo uzao wao bado upo jibu ndo Hilo ukitaka kujua sana soma qruan utajua taifa lile mungu aliwapa nini

🙏🏻🙏🏻
 
Una maana uyahudi ndiyo uisraeli??.

Kwahiyo Hitler aliua "wajomba" zake??.
Sababu za chuki za Hitler kwa waisrael 1.Dr mmoja muisraeli alikuwa anamtibu mama yake akaja kufariki hivyo Hitler alidai uzembe wa dr ulisababisha kifo cha mama yake 2.Asilimia 80% ya uchumi wa Ujerumani ulihodhiwa na wayahudi hivyo Hitler alitengeneza propaganda kuwa hali ngumu ya maisha imeletwa na wao na wayahudi ndio chanzo cha wao kushindwa vita kuu ya kwanza ya dunia.
 
Una maana uyahudi ndiyo uisraeli??.

Kwahiyo Hitler aliua "wajomba" zake??.
Mkuu Mokaze hakuna sehemu inaitwa Uyahudi ila kuna sehemu inaitwa Israel.
Uyahudi ni kabila na Israeli ni taifa.
Ni sawa na kulinganisha Uswahili na Utanzania
 
Sababu za chuki za Hitler kwa waisrael 1.Dr mmoja muisraeli alikuwa anamtibu mama yake akaja kufariki hivyo Hitler alidai uzembe wa dr ulisababisha kifo cha mama yake 2.Asilimia 80% ya uchumi wa Ujerumani ulihodhiwa na wayahudi hivyo Hitler alitengeneza propaganda kuwa hali ngumu ya maisha imeletwa na wao na wayahudi ndio chanzo cha wao kushindwa vita kuu ya kwanza ya dunia.

Angalia swali;- Hitler aliua wajomba zake??! Au huyo Dr wa kiisraeli alikuwa mzembe na akaua mwisraeli mwenzake, (mama yake Hitler).??
 
Mkuu Mokaze hakuna sehemu inaitwa Uyahudi ila kuna sehemu inaitwa Israel.
Uyahudi ni kabila na Israeli ni taifa.
Ni sawa na kulinganisha Uswahili na Utanzania

Hapana mkuu, Uyahudi siyo kabila bali ni jina la dini aliyokuja nayo Nabii Musa (as) kwa ajili ya Waisrael, Uyahudi ndiyo (Judaism). kwa upande wa kabila Waisreali wanayo makabila 12 (tribes) ambayo yametokana na wale watoto 12 wa kiume wa nabii Yakubu (Jacob) au kwa jina jingine huyu Yakubu ni Israel na ndiyo chanzo cha hilo jina Israel.

Ukisoma katika Qur'an waisrael wanaitwa "Banii Israel" yaani watoto wa Israel (Yakobo).

Ni sawa uliposema Israeli ni taifa.
 
Nimekuwa nikiuliza siku nyingi sana.Israel ni taifa dogo sawa na mkoa wa Morogoro.
Lakini umaarufu wake hata Marekani wako kama wanawalinda.
Vitabu vya dini viliwaita ni taifa teule la mungu.Ukisoma biblia hata majeshi ya wayahudi walikuwa wakishinda vita kila wakipigana.
Nini sababu kubwa mataifa makubwa Marekani,Urusi,Ujerumani kuwatukuza na kuwaogopa hawa watu.
Sina chuki nao mi sio semitic ila nataka kujua siri iliyofichika juu yao duniani.

c.c Mbwanaallyamtu
wewe sio semitic au anti semitic ukisema wewe sio semitic maana yake wewe ni anti semitic
 
Hapana mkuu, Uyahudi siyo kabila bali ni jina la dini aliyokuja nayo Nabii Musa (as) kwa ajili ya Waisrael, Uyahudi ndiyo (Judaism). kwa upande wa kabila Waisreali wanayo makabila 12 (tribes) ambayo yametokana na wale watoto 12 wa kiume wa nabii Yakubu (Jacob) au kwa jina jingine huyu Yakubu ni Israel na ndiyo chanzo cha hilo jina Israel.

Ukisoma katika Qur'an waisrael wanaitwa "Banii Israel" yaani watoto wa Israel (Yakobo).

Ni sawa uliposema Israeli ni taifa.
ahsante kwa elimu hii.Ni kweli nadhani Judaism kiswahili ni Uyahudi.Ila mafundisho yanasema YESU alikuwa myahudi.Na dini ya wayahudi ilikuwepo kabla YESU hajaleta injili.
i stand to be corrected
 
ahsante kwa elimu hii.Ni kweli nadhani Judaism kiswahili ni Uyahudi.Ila mafundisho yanasema YESU alikuwa myahudi.Na dini ya wayahudi ilikuwepo kabla YESU hajaleta injili.
i stand to be corrected

Ni kweli dini ya kiyahudi ilikuwepo kabla Yesu hajazaliwa kwasababu hiyo dini ililetwa na nabii Musa kwa ajili ya Waisraeli na Yesu ni Muisraeli mfuasi wa Nabii Musa hivyo Yesu ni Myahudi.

Injili maana yake ni habari njema, habari njema za kutilia mkazo au kufafanua kitabu cha Taurati kilichokuwa na sheria alizokuja nazo Nabii Musa kwa ajili ya hao Mayahudi yaani wafuasi wake, kifupi Yesu alikuja kufundisha Taurati kwa njia ya injili na ndiyo maana ukisoma iatika Mathayo, anasema Yeye hakuja kutangua Taurati na manabii bali kutimiliza.

Waliokuwa wafuasi halisi wa Yesu wakati huo walikuwa Mayahudi-wasaidizi, (Judeo-christians).
 
Ni kutokana na Marekani kuitumia hiyo nchi kimkakati katika mashariki ya kati,pia hiyo nchi ni mtiifu mkubwa kwa Marekani ndio maana inavuma dunia nzima;ni sawa na masikini awe mnyenyekevu na mtiifu kwa tajiri,lazima masikini nayeye atanukia nukia utajiri wa mwenzake.Fundisho tunalopata hapo,tujaribu kuwa karibu karibu na matajiri ili nasi tuweze kuvuma kama hao matajiri au katika nyanja mbalimbali.
 
Umaarufu wake umetokana na mauwaji anayoyafanya dhidi ya taifa masikini/Palestine kuuwa watoto, wazee na wajane.
 
Back
Top Bottom