Ujinga mtupu kwa maana hiyo unaunga mkono ufedhuli uliofanywa na ma-NAZI??Kajipange upya kujibu hoja hapa unabwabwaja tu!!!
Kanaitwa 'ka-spy nation' kaka. Kaache tu hako kataifa kanakolingana na mji kasoro bahari. Kenyewe kanajiita "small but tough". Kuna kiongozi wa ajemi(Iran)alikafananisha na kansa ya ubongo.Mtu hupata umaarufu kutokana na mambo mawili; ama Wema au ufedhulj na Israeli (waisraeli) wanajulikana kwa ufedhuli wao.
Maarufu kwa sababu kuna mashoga wengi kuliko popote pale dunianiNimekuwa nikiuliza siku nyingi sana.Israel ni taifa dogo sawa na mkoa wa Morogoro.
Lakini umaarufu wake hata Marekani wako kama wanawalinda.
Vitabu vya dini viliwaita ni taifa teule la mungu.Ukisoma biblia hata majeshi ya wayahudi walikuwa wakishinda vita kila wakipigana.
Nini sababu kubwa mataifa makubwa Marekani,Urusi,Ujerumani kuwatukuza na kuwaogopa hawa watu.
Sina chuki nao mi sio semitic ila nataka kujua siri iliyofichika juu yao duniani.
c.c Mbwanaallyamtu
Kanaitwa 'ka-spy nation' kaka. Kaache tu hako kataifa kanakolingana na mji kasoro bahari. Kenyewe kanajiita "small but tough". Kuna kiongozi wa ajemi(Iran)alikafananisha na kansa ya ubongo.
Nimekuwa nikiuliza siku nyingi sana.Israel ni taifa dogo sawa na mkoa wa Morogoro.
Lakini umaarufu wake hata Marekani wako kama wanawalinda.
Vitabu vya dini viliwaita ni taifa teule la mungu.Ukisoma biblia hata majeshi ya wayahudi walikuwa wakishinda vita kila wakipigana.
Nini sababu kubwa mataifa makubwa Marekani,Urusi,Ujerumani kuwatukuza na kuwaogopa hawa watu.
Sina chuki nao mi sio semitic ila nataka kujua siri iliyofichika juu yao duniani.
c.c Mbwanaallyamtu
Mwenyezi mungu mitume wooote kutoa mmoja tu walizaliwa Israel ivo uzao wao lazma uwe na hakili sana maaana huo uzao ni wa mitume waliopita ila so wote wenye hakili ya kufanya mambo makubwa ivo lazima mataifa mengine Kama malekan iwatumie kubuni mambo yaliyo fichikana unakumbuka wakina musa Ibrahim nawengne wengi walivo kua na uwezo ivo uzao wao bado upo jibu ndo Hilo ukitaka kujua sana soma qruan utajua taifa lile mungu aliwapa nini
Sababu za chuki za Hitler kwa waisrael 1.Dr mmoja muisraeli alikuwa anamtibu mama yake akaja kufariki hivyo Hitler alidai uzembe wa dr ulisababisha kifo cha mama yake 2.Asilimia 80% ya uchumi wa Ujerumani ulihodhiwa na wayahudi hivyo Hitler alitengeneza propaganda kuwa hali ngumu ya maisha imeletwa na wao na wayahudi ndio chanzo cha wao kushindwa vita kuu ya kwanza ya dunia.Una maana uyahudi ndiyo uisraeli??.
Kwahiyo Hitler aliua "wajomba" zake??.
Mkuu Mokaze hakuna sehemu inaitwa Uyahudi ila kuna sehemu inaitwa Israel.Una maana uyahudi ndiyo uisraeli??.
Kwahiyo Hitler aliua "wajomba" zake??.
Sababu za chuki za Hitler kwa waisrael 1.Dr mmoja muisraeli alikuwa anamtibu mama yake akaja kufariki hivyo Hitler alidai uzembe wa dr ulisababisha kifo cha mama yake 2.Asilimia 80% ya uchumi wa Ujerumani ulihodhiwa na wayahudi hivyo Hitler alitengeneza propaganda kuwa hali ngumu ya maisha imeletwa na wao na wayahudi ndio chanzo cha wao kushindwa vita kuu ya kwanza ya dunia.
Mkuu Mokaze hakuna sehemu inaitwa Uyahudi ila kuna sehemu inaitwa Israel.
Uyahudi ni kabila na Israeli ni taifa.
Ni sawa na kulinganisha Uswahili na Utanzania
wewe sio semitic au anti semitic ukisema wewe sio semitic maana yake wewe ni anti semiticNimekuwa nikiuliza siku nyingi sana.Israel ni taifa dogo sawa na mkoa wa Morogoro.
Lakini umaarufu wake hata Marekani wako kama wanawalinda.
Vitabu vya dini viliwaita ni taifa teule la mungu.Ukisoma biblia hata majeshi ya wayahudi walikuwa wakishinda vita kila wakipigana.
Nini sababu kubwa mataifa makubwa Marekani,Urusi,Ujerumani kuwatukuza na kuwaogopa hawa watu.
Sina chuki nao mi sio semitic ila nataka kujua siri iliyofichika juu yao duniani.
c.c Mbwanaallyamtu
ahsante kwa elimu hii.Ni kweli nadhani Judaism kiswahili ni Uyahudi.Ila mafundisho yanasema YESU alikuwa myahudi.Na dini ya wayahudi ilikuwepo kabla YESU hajaleta injili.Hapana mkuu, Uyahudi siyo kabila bali ni jina la dini aliyokuja nayo Nabii Musa (as) kwa ajili ya Waisrael, Uyahudi ndiyo (Judaism). kwa upande wa kabila Waisreali wanayo makabila 12 (tribes) ambayo yametokana na wale watoto 12 wa kiume wa nabii Yakubu (Jacob) au kwa jina jingine huyu Yakubu ni Israel na ndiyo chanzo cha hilo jina Israel.
Ukisoma katika Qur'an waisrael wanaitwa "Banii Israel" yaani watoto wa Israel (Yakobo).
Ni sawa uliposema Israeli ni taifa.
Uko sawa Hapa ni mgongano wa lughawewe sio semitic au anti semitic ukisema wewe sio semitic maana yake wewe ni anti semitic
ahsante kwa elimu hii.Ni kweli nadhani Judaism kiswahili ni Uyahudi.Ila mafundisho yanasema YESU alikuwa myahudi.Na dini ya wayahudi ilikuwepo kabla YESU hajaleta injili.
i stand to be corrected
sawaUko sawa Hapa ni mgongano wa lugha