Umaarufu wa Chadema wapungua (Gazeti la Tazama)

kama kaanza kuzomewa subiri ipo siku mtasikia katimuliwa. na bado yeye sialijikinga kwenye kanisa? sasa maaskofu wasiokuwa wakatoriki wamesha anza kumwaga cheche na waumini hufuata msimamo wa viongozi wao kwahiyo Slaa hawezi tena pata umaarufu kwa wananchi maana wanaoelimisha jamii juu ya propaganda za slaa.

Wewe hata kukuita mjinga ni kama unasifiwa vile! Imeandikwa "Mtu huyaweza yaujazayo moyo wake". Bila shaka unafuata kila unachoambiwa bila ya kufikiri hata kidogo na unaamini (kwa kuwa ujinga umekujaa moyoni) una wenzio Tanzania ya leo wenye mawazo kama yako. Kwa kuwa hakujawahi kuwa na uhaba wa mazuzu duniani mtakuwepo lakini sio wengi ambao hamko nao tayari kama aliekutuma anavyofikiri.

Kalaga baho na ubozi wako!
 
Gazeti la Tazama linatuhabarisha kuwa umaarufu wa Chadema unaonekana kupungua baada ya Dk.Slaa kuzomewa huko Tabora.

nasikia CDM wanajiandaa na operesheni kambale ikifuatiwa na operesheni mijusi haahaa kweli wameishiwa,sasa ashataja majina wamekaa kimya wanatunga uzushi mwingine wampe mzee wa watu Slaa ataje ili yeye aonekane punguwani kwanini kina MBOWE hawataji majina au huyu aliyechukuliwa katika dirisha dogo prof Safari angepewa jukumu la kutaja majina haahaa

Niliwaonya kumpeleka huyu mzee TBR, hakuna wajinga wajinga huko na ana bahati tu wange mpopoa na mivigi vigi hadi ajishenyente.

kama kaanza kuzomewa subiri ipo siku mtasikia katimuliwa. na bado yeye sialijikinga kwenye kanisa? sasa maaskofu wasiokuwa wakatoriki wamesha anza kumwaga cheche na waumini hufuata msimamo wa viongozi wao kwahiyo Slaa hawezi tena pata umaarufu kwa wananchi maana wanaoelimisha jamii juu ya propaganda za slaa.
Duh poleni sana mlivyojipanga hadi huruma, halafu Msekwa anauliza kwanini CCM inachukiwa na vijana hasa kwenye mtandao wa JF kama nyie ndio watumwa wake mtamuua mzee wa watu kabla ya siku zake.
 
Hata akizomewa kule sio ajabu sana kwa kuwa kule madrasa ni nyingi kuliko madarasa. Ni moja kati ya maeneo ambayo watu wake walichukuliwa sana utumwani na waarabu so sio ajabu kuchukuliwa utumwa na CCM. Tabora hakuna maendeleo yoyote zaidi ya ma-ustaadhi kukaa vijiweni kunywa kahawa, ukombozi kwao sio leo. Mufti si aliwakataza kuandamana na elimu yake ya darasa la saba

acha kuleta point za kitindiga sawa..kama umeshindwa kumtetea huyo mtu wake SHUTUP,unanipa kichefuchefu
 
kababu wanakaonea sana coz wanakapa mizigo mingi sana,sasa na kwavile hakana kazi kanabidi katie maagizo la sivyo zile milioni kumi na ushee za kila mwezi wale wachaga hawatampa haaha kila siku wimbo wa majina?? babu toa singo nyingine haaa kushne kabisa

Una harufu ya ukabila.
 
Dr Go...go...go Dr subirini next week kama hamtaanza kukimbilia vyombo vya habari tena na kwenye redio na magazeti hoo kuna watu wanahatarisha usalama wa nchi
 
Unapogawa Bure Kijarida kumikashifu mwenzako hata kama Allegation zako zina Ukweli zitaonekana ni Propaganda mbele za wasomi na Zinasifiwa na wale wenye uwezo mdogo wa kufikiri na mara Nyingi propaganda za kugawa Vijarada Bure Vinamjenga zaidi Mpinzani wako.

Hongera CCM Think Tank
 
Hata akizomewa kule sio ajabu sana kwa kuwa kule madrasa ni nyingi kuliko madarasa. Ni moja kati ya maeneo ambayo watu wake walichukuliwa sana utumwani na waarabu so sio ajabu kuchukuliwa utumwa na CCM. Tabora hakuna maendeleo yoyote zaidi ya ma-ustaadhi kukaa vijiweni kunywa kahawa, ukombozi kwao sio leo. Mufti si aliwakataza kuandamana na elimu yake ya darasa la saba

acha kuleta point za kitindiga sawa..kama umeshindwa kumtetea huyo mtu wake SHUTUP,unanipa kichefuchefu
 
gazeti la Tazama. Ni mwendawazimu tu anayeweza kupoteza muda wake kulisoma gazeti hilo. Mwandishi Charles Charles na yule mzee mwingine Mapunda wote wanatumika kuwachafua wanasiasa. Nakumbuka kuelekea uchaguzi mkuu walikuwa wakimchafua sana Anne Kilango Malecela na kusema wamefanya utafiti wa kutosha hivyo wana hakika yule mama hatorudi bungeni. Hao Tazama ni moja ya magazeti yanayoeneza sana siasa za majitaka.

Leo wanatuambia ati umaarufu wa CDM umeshuka, wanaweza wakatueleza ni kwa asilimia ngapi? Tatizo magazeti yanayoandikwa na waandishi njaa, huishia kuandika wanayoyapenda mafisadi ambao ndo wamiliki wa magazeti hayo.
 
Hata akizomewa kule sio ajabu sana kwa kuwa kule madrasa ni nyingi kuliko madarasa. Ni moja kati ya maeneo ambayo watu wake walichukuliwa sana utumwani na waarabu so sio ajabu kuchukuliwa utumwa na CCM. Tabora hakuna maendeleo yoyote zaidi ya ma-ustaadhi kukaa vijiweni kunywa kahawa, ukombozi kwao sio leo. Mufti si aliwakataza kuandamana na elimu yake ya darasa la saba

Mimi siwezi kutukana imani ya mtu, na dharau hii kwa waislamu pamoja na tabia ya mgombea wenu wa urais kuiba wake za watu, haitatokea CDM inatawala nji hii.
 
Hivi bado kuna watu wanasoma Tazama? Hata mleta mada inaonekana kalisoma tu mezani linapouzwa ndio maana hana details. hili sio ndio Samwel Sitta alisema kigazeti cha hovyo hovyo? Baada ya kuashindwa kina Mwakyembe, Ole Sendeka na Anne Kilango sasa ilnagawiwa mitaani. Huwa nina mashaka na kitu chochote kinachotolewa bure
 
Unapogawa Bure Kijarida kumikashifu mwenzako hata kama Allegation zako zina Ukweli zitaonekana ni Propaganda mbele za wasomi na Zinasifiwa na wale wenye uwezo mdogo wa kufikiri na mara Nyingi propaganda za kugawa Vijarada Bure Vinamjenga zaidi Mpinzani wako.

Hongera CCM Think Tank

Na bado, tunawasiliana na TBR tutengeze DVD tutazigawa bure au hata kuweka TV kwenye kila daladala ili watu wote waone watu wa TBR wasivyopenda upumbavu.
 
Kumbe gazeti la TAZAMA wala sishangai maana mwenye hilo gazeti anajulikana ni nani
 
Huwa naona wanafunzi wa shule za msingi wanatumia gazeti la TAZAMA kufungia mandazi huwa haliuziki kwa porojo zake.
 
Gazeti la Tazama linatuhabarisha kuwa umaarufu wa Chadema unaonekana kupungua baada ya Dk.Slaa kuzomewa huko Tabora.

Bagenda kaisha jifuta katika orodha ya waadilifu kimaandishi. Ndiyo maana hawezi toka ccm pamoja na kutowapenda mchumia tumbo.
 
Gazeti la Tazama linatuhabarisha kuwa umaarufu wa Chadema unaonekana kupungua baada ya Dk.Slaa kuzomewa huko Tabora.

Hata mimi nilikuwepo alizomewa sana mpaka akaahirisha kusoma majina ya madisadi wa uongo aliokuwa amewaandaa
 
Gazeti la Tazama linatuhabarisha kuwa umaarufu wa Chadema unaonekana kupungua baada ya Dk.Slaa kuzomewa huko Tabora.

Magazeti ya nchi hii hayajui yanachokiandika!! Yamekuwa na ushabiki hadi waandishi wanaweka pembeni taaluma zao. Mimi nasoma magazeti machache sana na TAZAMA si miongini mwayo!! Hivi hili TAZAMA si ndio linaandikwa na jamaa mmoja anaitwa Charles Charles ambaye ni katibu wa CCM huko Iringa (kama hajavuliwa gamba)? Huyu jamaa si ndio aliomba apewe pesa za kulifufua gazeti sijui la changamoto (UVCCM). Sisomi magazeti kwa kuwa magazeti mengi ya Tanzania yamegeuka kuwa ya UDAKU
 
Back
Top Bottom