Umaarufu wa Chadema wapungua (Gazeti la Tazama)

Umeona mkuu, hii mijitu huwa inadhani hii ni nchi yao peke yao kutukana wenzao, mimi nilidhani hako kababu kao wanakaleta Mtwara nilikuwa nimejiandaa kukazomea hadi kapate kiharusi tena.
kababu wanakaonea sana coz wanakapa mizigo mingi sana,sasa na kwavile hakana kazi kanabidi katie maagizo la sivyo zile milioni kumi na ushee za kila mwezi wale wachaga hawatampa haaha kila siku wimbo wa majina?? babu toa singo nyingine haaa kushne kabisa
 
Unamtafuta Mbowe? Ana mke na hafagilii mashoga

Hizi ni lugha za staha sana kwa wana CDM

sasa ninaamini kuna mijitu mingine akili zipo makalioni

Hata hoja zao wanazijenga kwa kutumia lugha rasmi ya chama.

watu wakiambiwa ukweli wanakimbilia kusema wametukanwa! Leteni ushahidi wa kuzomewa kwa Slaa hapa vinginevyo kaendelee kucheza mdako msilete umbea humu

Usipanic mkuu tuelimishe kuwa hii ndio lugha rasmi ya chama.
 
Hata mimi nimeliona asubuhi nikasema ndio maana muhimbili hapatoshi, kama kuna wenye muda dawa ya hili gazeti ni kulishitaki tudai ushahidi ili lifungwe, si ndio hili la kada wa CCM charles charles aliyekua anaomba kazi kwa shigela? crap takataka mavi yake nae anajiita mwanaume anavaa suruali na kufunga mkanda?

ni wa kiume
 
Magazeti ya kibongo nani asiyeyafahamu unakuta kwamba kichwa cha habari akihusiani na kilicho andikwa.chadema itaendelea kuwasha moto, mpaka hapo ilipofikia nadhani wenye kutazama mbali wanakili kwamba kuna vitu vinatekelezwa kwa shinikizo la CHADEMA ataye bisha kazi kwake
 
Gazeti la Tazama linatuhabarisha kuwa umaarufu wa Chadema unaonekana kupungua baada ya Dk.Slaa kuzomewa huko Tabora.

nasikia ilo gazeti mulikuwa munagawiwa bure kama njugu.

kama umaarufu wa cdm umepungua, ya nini kupoteza muda na mali kuchapa gazeti la kugawa bure.

unafiki huu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!1
 
Raptor wewe ni great thinker..c mshabiki hata kidogo,.ila tegemea majibu mepesi ya kwamba umetumwa,.maana kuna watu humu ukikosoa tu chadema bs hawaangalii hata ulichoandika kina mantik ganGani,wao haraka wanashambulia mtu
 
Waliutangaza lini umaarufu wa CHADEMA ukiwa unapanda hadi leo waseme umeshuka?

hata mi nashangaa ni lini CHADEMA ikawa maarufu! Si wapiga debe wao redet walishatwambia sasa wanaendelea kugawa magazeti ya nini! Tatizo la sisiem ni kutaoukubali ukweli na tabia hii itaendelea kuwagharimu, mathalan walikana ufisadi ajabu hivi sasa wanavuana magamba.
 
Umeona mkuu, hii mijitu huwa inadhani hii ni nchi yao peke yao kutukana wenzao, mimi nilidhani hako kababu kao wanakaleta Mtwara nilikuwa nimejiandaa kukazomea hadi kapate kiharusi tena.
Sikujua kwa nini siku hizi makopo sio mengi barabarani kama zamani, kumbe waokotaji wameongezeka!
 
Hata mimi nimeliona asubuhi nikasema ndio maana muhimbili hapatoshi, kama kuna wenye muda dawa ya hili gazeti ni kulishitaki tudai ushahidi ili lifungwe, si ndio hili la kada wa CCM charles charles aliyekua anaomba kazi kwa shigela? crap takataka mavi yake nae anajiita mwanaume anavaa suruali na kufunga mkanda?

ndiyo lenyewe kaka niliongea na huyo Charles Charles akanitukana kwa meseji, wanapaniki ovyo ovyo tu
 
Niliwaonya kumpeleka huyu mzee TBR, hakuna wajinga wajinga huko na ana bahati tu wange mpopoa na mivigi vigi hadi ajishenyente.

TBR gani hiyo unaiyoimaanisha haina wajinga wajinga? Ule mji ambao ukiondoka leo ukarudi baada ya miaka 10 unakuta uko vile vile? Wanakolima tumbaku (na kukata miti yote kukabaki jangwa) kwa kukaushia tumbaku halafu hauna hata barabara moja ya lami inayoiunganisha na mikoa mingine? Wajanja gani hao wasiojua hata kuwa wao ni masikini wa kutupwa na kushangilia kuwa wao ndio ngome ya Chama Cha Magamba?

Kama watu wa aina hiyo ndio wajanja, basi mtu mjinga hajazaliwa bado.
 
msiwe kama mata nyie Slaa azomewe si mngeonesha kwenya tv zote za hapa BONGO?na hii ndio inawaponza hamtaki kukubali kua Tanzania ya leo ni ya .com na sio ya enzi za mwalimu.TUNAIPENDA TANZANIA ILA KAMA YENYEWE HAITUPENDI MNATEGEMEA NINI?mtazusha sana na bado
 
Niliwaonya kumpeleka huyu mzee TBR, hakuna wajinga wajinga huko na ana bahati tu wange mpopoa na mivigi vigi hadi ajishenyente.
Hata akizomewa kule sio ajabu sana kwa kuwa kule madrasa ni nyingi kuliko madarasa. Ni moja kati ya maeneo ambayo watu wake walichukuliwa sana utumwani na waarabu so sio ajabu kuchukuliwa utumwa na CCM. Tabora hakuna maendeleo yoyote zaidi ya ma-ustaadhi kukaa vijiweni kunywa kahawa, ukombozi kwao sio leo. Mufti si aliwakataza kuandamana na elimu yake ya darasa la saba
 
nasikia CDM wanajiandaa na operesheni kambale ikifuatiwa na operesheni mijusi haahaa kweli wameishiwa,sasa ashataja majina wamekaa kimya wanatunga uzushi mwingine wampe mzee wa watu Slaa ataje ili yeye aonekane punguwani kwanini kina MBOWE hawataji majina au huyu aliyechukuliwa katika dirisha dogo prof Safari angepewa jukumu la kutaja majina haahaa

Kati ya watu mnaoiua CCM ni wewe. Hufikiri kabisa zaidi ya kutumia ushabiki. Ndugu yangu tumia akili yako kidogo ili kuisaidia CCM au kwa kuwa nawe ni fisadi ndo huwafikiri wananchi wanaoipa ajira CCM na uwezo wa kufisadi. Toka kwenye kwenye box ufikiri huru.
 
Gazeti la Tazama linatuhabarisha kuwa umaarufu wa Chadema unaonekana kupungua baada ya Dk.Slaa kuzomewa huko Tabora.

kama kaanza kuzomewa subiri ipo siku mtasikia katimuliwa. na bado yeye sialijikinga kwenye kanisa? sasa maaskofu wasiokuwa wakatoriki wamesha anza kumwaga cheche na waumini hufuata msimamo wa viongozi wao kwahiyo Slaa hawezi tena pata umaarufu kwa wananchi maana wanaoelimisha jamii juu ya propaganda za slaa.
 
Back
Top Bottom